Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
😍😍👌👌👌Mimi nimeolewa nae kabisa mana mijanaume niliodate nayo yenye umrinmkubwa yote ilikua chenga tu....tumepishana mitatu n we are happily married...m handsome wangu[emoji7]anipenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍😍👌👌👌Mimi nimeolewa nae kabisa mana mijanaume niliodate nayo yenye umrinmkubwa yote ilikua chenga tu....tumepishana mitatu n we are happily married...m handsome wangu[emoji7]anipenda
50/50 maana yake nini?Mimi anizidi,nimzidi hakuna shida,cha mhimu asimane kwenye nafasi yake km mwanaume,baba....
Mimi sio muumini wa 50/50
Kuna uzi unafanania na huu mesimulia hili my dear, just in summary nilipata ka underage kahendsome balaa, zamani I had weekness kwa wanaume ambao Wana muonekano mzuri, siku hizi kikubwa upumue tuuu, jamaa alianza poa ila alikuja kunigeuza kitega uchumi, plus vipigo na madharau kibaooo, na kumfumania Kama kote, wazazi wakaingilia kati ikabidi tuachane, niliishi nae kimtindo like a year....Mahusiano yalikuwaje mkuu!
Kubet kunatafuna sana akili 🤣🤣🤣
Na ukomee 🤣🤣🤣🤣Kuna uzi unafanania na huu mesimulia hili my dear, just in summary nilipata ka underage kahendsome balaa, zamani I had weekness kwa wanaume ambao Wana muonekano mzuri, siku hizi kikubwa upumue tuuu, jamaa alianza poa ila alikuja kunigeuza kitega uchumi, plus vipigo na madharau kibaooo, na kumfumania Kama kote, wazazi wakaingilia kati ikabidi tuachane, niliishi nae kimtindo like a year....
Kazi ipo sasa mimi kama nina 20 saivi inamaana inabidi niwe na 45+ ili nianze kudate hivyo ni ninatakiwa kuanza at 2050 mbona sadari ndefu asee 😲😲😲Yaani mimi niwe na kavulana ka 30s Yr? Ohh nope. Labda nikaajiri kachekeshaji kangu
Nimecheka lakini pole sana, sura za mama wana changamoto nyingi.Kuna uzi unafanania na huu mesimulia hili my dear, just in summary nilipata ka underage kahendsome balaa, zamani I had weekness kwa wanaume ambao Wana muonekano mzuri, siku hizi kikubwa upumue tuuu, jamaa alianza poa ila alikuja kunigeuza kitega uchumi, plus vipigo na madharau kibaooo, na kumfumania Kama kote, wazazi wakaingilia kati ikabidi tuachane, niliishi nae kimtindo like a year....
FR!!😅Kubet kunatafuna sana akili 🤣🤣🤣
kwahiyo hapo ndo umechangia😁
Hahaha hebu nichangiekwahiyo hapo ndo umechangia😁
ukimzidi miaka 1-5 umelingana nae tayari😁Hahaha hebu nichangie
Age is just a number
Lakini ni heri nilingane na mwanaume wangu kuliko kumzidi umri
ukimzidi miaka 1-5 umelingana nae tayari😁
kuna ukweli hapasi unajua wanawake tunakua haraka lakini
kuna ukweli hapa
ila huu ugonjwa wangu sidhani kama ntapona, kwanza ndo nimezidiwa😂
bibi yangu kamzidi babu mwaka, na woko poa tu
1-5Mwaka mmoja sio wa kuujadili sana,sioni kama ni mbaya sana
Hata bibi na babu yako sidhani kama watu walinotice utofauti wa umri
Nandy kamzidi Billnas mwaka mmoja pia,watu hawajadili sana utofauti wao
Wewe unaowapenda mara nyingi ni miaka mingapi wanakuzidi?
sijawahi kupenda mdogo wangu au niliyelingana nae,Na unawapenda ile deep kiasi kwamba uko tayari kufika nao sehemu
sijawahi kupenda mdogo wangu au niliyelingana nae,
nahisi ndo preference yangu, hata mke atadondokea hapo