Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Miss Gf🤣🤣🤣🙌Kwakweli mimi hapana nataka mwanaume anizidi kila kitu kwanzia umri,akili,pesa,urefu n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss Gf🤣🤣🤣🙌Kwakweli mimi hapana nataka mwanaume anizidi kila kitu kwanzia umri,akili,pesa,urefu n.k
Umenifurahishanini tena mkuu
saanyingine mtu anakunyima k eti kisa umri umrindionini sasa?Umenifurahisha
Mbinu ya kivita🙌🤣
😍👌👌Sijui mtazamo wa mtu but mimi nimeoa mwanamke aliyenizidi miaka 5 .tena kuoana kwa ndoa kabisa
Duh 7 yrs mlipishana!saanyingine mtu anakunyima k eti kisa umri umrindionini sasa?
Sins hamu mpenz😂😂😂😂🙌Nimecheka
kwawewe unaweza det na uliemzidi umri?Duh 7 yrs mlipishana!
Ni Jamii za ki Afrika,wenzetu hawana hizo mambo
Hata mie 🤣Mi sijatajwa nngejibu
Kumbe wasumbufu.sikujua🤣Sins hamu mpenz😂😂😂😂🙌
Mi ht sio issuekwawewe unaweza det na uliemzidi umri?
They are so sweet ila tatizo usumbufu😓Kumbe wasumbufu.sikujua🤣
hamna chakuchoka wala nini nimatunzo tuu.Mi ht sio issue
Cha msingi tusizidiane sana
Wanawake tunawahi kuchoka sbb ya majukumu, km ya kuzaa nk....
Sawa mengine naweza zidiwaHuwezi kujua. Kuna vijana wana hela hadi kufuru. Huyo akikutaka advertise yake moja tu unaingia mzima mzima.
😁😁😁Sawa mengine naweza zidiwa
Lkn sio issue ya channel o, Kwa hapo abaki tu na Hela zake!! No way
Yes Kwa upande mwingine uko sahihi lkn gap lisiwe kubwa snhamna chakuchoka wala nini nimatunzo tuu.
ukila vizuri huna stress mbona miaka 50 utaonekana Kama wa miaka 30 tuu
gap kubwa nikama miaka mingapi?Yes Kwa upande mwingine uko sahihi lkn gap lisiwe kubwa sn
Usumbufu upi? Upendo upo?They are so sweet ila tatizo usumbufu😓
Kuanzia 10 yrs hapana jmngap kubwa nikama miaka mingapi?
Wewe umemzidi wako miaka mingapi? 1-5 naona sio issue, Ila ikiwa 15 mmmh!Kikubwa be a man kwa hiyo relationship, usitumie kigezo cha umri kama fimbo, kitu kidogo unaanza lawama, sijui unanidharau sababu umenizidi umri, mara unanidharau sijui sababu umenizidi pesa, ulifahamu hayo kabla hujaanza hayo mahusiano, You had a choice before dating matured woman...
Just love her, respect her, embrace her, let love flow...age is just a number if you know what it means...
Niko na shuhuda na mahusiano mengi tu ya wanaume waliozidiwa umri na wanasonga, wanaheshimiana na wanaanzisha familia, acha kuendekeza njaa...hiyo kitu inakata sana, Just be a man brooo....Gud luck!
Umeanza🤣🤣Wote wanaojifanya siwezi hakuna manzi humu atafatwa na chalii anasukuma G wagen au Ferari halafu aseme hamtaki 🤣!