Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Mimi nimeolewa nae kabisa mana mijanaume niliodate nayo yenye umrinmkubwa yote ilikua chenga tu....tumepishana mitatu n we are happily married...m handsome wangu[emoji7]anipenda
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ
 
Mahusiano yalikuwaje mkuu!
Kuna uzi unafanania na huu mesimulia hili my dear, just in summary nilipata ka underage kahendsome balaa, zamani I had weekness kwa wanaume ambao Wana muonekano mzuri, siku hizi kikubwa upumue tuuu, jamaa alianza poa ila alikuja kunigeuza kitega uchumi, plus vipigo na madharau kibaooo, na kumfumania Kama kote, wazazi wakaingilia kati ikabidi tuachane, niliishi nae kimtindo like a year....
 
Na ukomee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nimecheka lakini pole sana, sura za mama wana changamoto nyingi.
 
kuna ukweli hapa

ila huu ugonjwa wangu sidhani kama ntapona, kwanza ndo nimezidiwa๐Ÿ˜‚

bibi yangu kamzidi babu mwaka, na woko poa tu

Mwaka mmoja sio wa kuujadili sana,sioni kama ni mbaya sana
Hata bibi na babu yako sidhani kama watu walinotice utofauti wa umri

Nandy kamzidi Billnas mwaka mmoja pia,watu hawajadili sana utofauti wao

Wewe unaowapenda mara nyingi ni miaka mingapi wanakuzidi?
 
1-5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ