Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

pita nje mtaani umuone mmama wa umri huo akimuamkia kijana kama hutoshangaa...
mwanamke anadai anataka aolewe na mwanaume aliemzidi miaka 15 sasa kinachotokea ni kwamba mwanaume atakapokuwa na miaka 60 na mwanamke nae atakuwa na miaka 45 je unadhani kipi kitatokea? Hayo nimeyaona sana mtaani wakina mama wanakamuliwa sana na vijana wadogo kwasababu waume zao washachoka
 
Back
Top Bottom