Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
🤣🤣🤣🤣🤣Shida nini shangaziOna sasa, tuvulana twenyewe hata kuandika hatujui
,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Shida nini shangaziOna sasa, tuvulana twenyewe hata kuandika hatujui
,
Ndio, wengi ninao waona hawapo matured.Unapima reasoning capacity ya mtu kwa umri...??
HahahahahahTajir G-wagon ni mbali sana, hawa madem wanaume wanao wa-recommend na uhalisia ni tofauti ... Watamaliza maneno yote hapa bt wakiingia field matokeo ni tofauti
Ndio inawatesa wengi hio huo ndio ufunguo wa password zoteKwa hiyo kumbe issue ni pesa[emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahah ujakutana na Mwijaku, Baba Levo na hayati LemutuzNdio, wengi ninao waona hawapo matured.
Tusileteane mbwembwe humu, njaa haina umri 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maokoto[emoji817]
Imagine😅😅😅Hahahah ujakutana na Mwijaku, Baba Levo na hayati Lemutuz
hao wamejitoa ufahamu tu, sio kwamba hawana akili.Hahahah ujakutana na Mwijaku, Baba Levo na hayati Lemutuz
Wala hakuyumba yupo safi tu mbona hivi ni vitu vya kawaida sana...Huyo 📡 litakuwa liliyumba.
pita nje mtaani umuone mmama wa umri huo akimuamkia kijana kama hutoshangaa...Wala hakuyumba yupo safi tu mbona hivi ni vitu vya kawaida sana...
mwanamke anadai anataka aolewe na mwanaume aliemzidi miaka 15 sasa kinachotokea ni kwamba mwanaume atakapokuwa na miaka 60 na mwanamke nae atakuwa na miaka 45 je unadhani kipi kitatokea? Hayo nimeyaona sana mtaani wakina mama wanakamuliwa sana na vijana wadogo kwasababu waume zao washachokapita nje mtaani umuone mmama wa umri huo akimuamkia kijana kama hutoshangaa...
Wewe mwenyewe ukishafika miaka 48 na huyo mumeo ana 61 hapo ndipo utawamisi vijana wanaoenda mbio ndefu ambao wengi wao ni chini ya 35Huyo 📡 litakuwa liliyumba.
Hahahahahah hawa akili wanazo Sema wamechagua lifestyle ya kujichetua ili mkono uende kinywaniHahahah ujakutana na Mwijaku, Baba Levo na hayati Lemutuz
Kumbe akili wanazo wale 🤣 basi mi ntakuwa genius kabisaHahahahahah hawa akili wanazo Sema wamechagua lifestyle ya kujichetua ili mkono uende kinywani
Hahahah kwahio we mwijaku kwako safi tuhao wamejitoa ufahamu tu, sio kwamba hawana akili.
Tena nyingi hadi zinamwagikaKumbe akili wanazo wale 🤣 basi mi ntakuwa genius kabisa