Probox kalivyo kadogo kuosha unachanganya na vyombo!
Halafu kubadili tairi unafanya kunyanyua na mkono mmoja unapachika tairi, unapoendesha vile kibini ilivyo fupi ukiwa mrefu sana inabidi upinde shingo au utoe kichwa nje ili kisiguse kibin,
Kiufupi probox haina stress ingawa taili na rim zake ni nyembamba sana kama za spea taili!
NI GARI NZURI ACTUALLY
Ukifanya hivyo unakuwa umeharibu torque ya engine inaongeza ulaji wa mafuta, lakini inawezekana unachongea disc na rim zake kazi yote ya nini?Huwa nawaza unakapiga tairi Nene na unakainua kidogo,nadhani katakuwa na muonekano mkali wa kibishi
Ukifanya hivyo unakuwa umeharibu torque ya engine inaongeza ulaji wa mafuta, lakini inawezekana unachongea disc na rim zake kazi yote ya nini?
Kama unataka gari ya juu mafuta kidogo, mwendo wa Kobe nunua CAMI au kama unapesa ndefu vuta RUSH
, View attachment 1702482View attachment 1702484Kinachonikera kidogo ni tairi nyembamba,lkn kwa maisha yangu hii ndo gari naihitaji kitambo,ni suala la muda tu,japo sikujua km ukiiinua na kuiwekea tairi pana inaweza ongeza ulaji wese
[emoji23][emoji23] amekutishaMimi wamenikatisha tamaa,kwa jinsi kalivyo mwagiwa sifa nilishawishika...naambiwa ni kafupi Kama ni tall Kama mm ,naambiwa itabidi niendeshe nimepinda mgongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
shukran chief!Gari nzuri ila jitahid utafute Toyota succeed ni muundo huo huo wa probox ila yenyewe ni pana Kwa ndani na imara zaidi.
Ahsante bossGari ya kazi hiyo. Rough road inahimili sana. Zinatumika sana kusafirisha abiria vijijini huko kusiko na barabara
teh teh..Kubebe mbuzi na kondoo na chakula cha mifugo ni gari imara sana. Yamejazana sana Kilwa Masoko.
Chuma ipo imara sana Mjapan kaleta pickup kijanjateh teh..
Kwamba mbuzi + kondoo..
Na ninasikia mbali na kubebeshwa hivyo bado chuma kinakuwa imara!
Uta enjoy sana.Shukrani Mkuu
..na mimi nina matarajio nayo kamanda
Sawa sawa ChiefHiizi gani nazikubali Sana
Ukizivisha viatu vile vinne halafu ukaweza na sport rim
Halafu ikawa na rangi ya dark bkuu au black au grey dadake [emoji1]
Hiizi gari unazeeka nazo
teh..Chuma ipo imara sana Mjapan kaleta pickup kijanja
[emoji23][emoji23] kwamba wamama wa kichaga sio watu wazuri.Uta enjoy sana.
Gari Ina vile vitu essential tu. Hata power window haina, tachometer haina, sijui redio, tiivii haina. Halafu kiti Cha nyuma sio Cha starehe. Kifupi Ni gari sahihi kwa matumizi ya mtoto wa mkulima.
Tena nunua fasta kabla wamama wa kichaga hawajazistukia zikapanda Bei.
Wamama wa kichaga wakizigundua uzuri wake hasa wale wa soko la kwasadala Bei ya hiyo gari itazidi Noah.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama ni mrefu sana kata kibini ongezea bodi juu kidogo ili kichwa kitoshe au kubana bajeti unaweza toboa tundu kichwa kitoke inje halafu unavalia na helmenti wakati unaporndesha!