popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Huwa nawaza unakapiga tairi Nene na unakainua kidogo,nadhani katakuwa na muonekano mkali wa kibishi
Probox kalivyo kadogo kuosha unachanganya na vyombo!
Halafu kubadili tairi unafanya kunyanyua na mkono mmoja unapachika tairi, unapoendesha vile kibini ilivyo fupi ukiwa mrefu sana inabidi upinde shingo au utoe kichwa nje ili kisiguse kibin,
Kiufupi probox haina stress ingawa taili na rim zake ni nyembamba sana kama za spea taili!
NI GARI NZURI ACTUALLY