Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAKUNA MAMA BILA BABADebate: father is better than mother![emoji124]
Hakuna kama mama
Siyo lazima tufanane pia. Hata Mungu alituumba tofauti ili maisha yawezekane. Wote tukishabikia yanga umaana wa simba hautokuwepoWewe ni mpuuzi ..huna maana
You have said it allMama ni moyo ana mapenzi ya dhati yaliyovuka mipaka kwa mwanae, leo hii hata mama yako ukimwambia unataka kuwa msanii atakupa sapoti, mapenzi ya dhati kuna muda huwa yanapofusha kushindwa kuona uhalisia, hapo unakuta mtu hana kipaji wala bidii, hana connections, n.k
Baba ni kichwa, mlinzi na mtafutaji, leo hji ukimwambia unataka kuwa msanii atatafakari na kuona mbali maana ukiwatoa kina Diamond, Kiba, Harmonize na wasanii wengine wachache waliofanikiwa, kuna lundo kubwa sana la wasanii miaka nenda rudi wamesota (kwa ambao tumekaa na wasanii tunajua msoto wake), atakupa makavu na hatakusapoti kwa sababu anahofia wewe kuwa wasanii wale miaka nenda rudi hata hawasikiki, atakwambia ni bora akufanyie connection kwa rafiki yake fundi seremala ujifunze hio stadi nawe uwe fundi ama hata akutaftie shamba ukalime uwe na uhakika hata wa kula na kuja kilisha familia yako.
Hapo ukitumia hisia utaona mama anakupenda ila ukitumia akili unaona baba anakujali.
ila kadri umri unavyoenda mtoto wa kiume akiacha kuwa tegemezi na kuanza kujitegemea, kuhama, kujitaftia ridhiki, kuwa na familia, n.k basi hapo ukaribu kwa baba unaongezeka maana wanaanza kufanana, mtoto na baba wote wanajitaftia ridhiki, mtoto na baba wote wameoa, mtoto na baba wote walihama kwao kujitegemea, n.k.
yote kwa yote wote wana umuhimu, ukipatwa na tatizo mama atakuwa karibu na wewe sana huku mzee akihangaika huko nje kukunasua kwenye tatizo kadri ya uwezo wake wote, hapo ndipo wengi wanakosea wanadhani mama ndie mwenye umuhimu zaidi lakini wanasahau baba yupo nje anapambana ili kuwanasua kwenye matatizo ya ujinga kwa kuwapa mahitaji ya elimu, kuwaondolea njaa kwa kuwalisha, kuwasitiri kwa kuwavisha, kuhakikisha hamlali nje kwa kulipia kodi ya nyumba au kujenga, kuwatoa uvivu kwa kuwapa kazi za kufanya nyumbani, kuwanusuru katika maamuzi mabaya yanayoweza kuwapeleka jela kwa kuwatia adabu tangu mkiwa wadogo, n.k. mchango wa baba ukitaka kuujua kama wewe ni mtoto wa kiume anza kujitegemea nakwambia utaujua tu, ongeza mke uwe na familia utapata oicha nzuri zaidi... ila kama bado unaishi kwenu bado hujawa mwanaume wa kuondoka kwenye kiota ukajitegemee hapo itakua kazi kuona mapenzi ya baba.
Wewe ni mjinga kinoma. Huna akili na watoto wako watakuchukia vile vile umchukiavyo mdingi wakoKwa sababu nazidi kujitambua na kumlinganisha na mimi mwenyewe. Huwa naona kama alifeli vibaya. Hapo namlinganisha na mimi ninavyowajibika kwa wanangu. Ninavyojari matatizo yao na ninavyoteseka kama watakuwa wanapitia magumu
personal attack! 🥺🥺Wewe ni mjinga kinoma. Huna akili na watoto wako watakuchukia vile vile umchukiavyo mdingi wako
JiongezeKama kutoka nyumbani, kupata mke na mtoto na kujitegemea ndo chanzo cha kuutambua upendo wa baba. Basi hiyo kanuni kwangu sijui kwanini imefeli. Kina ninavyopambana na kustep ndo nazidi kupunguza upendo juu yake
Ngoja tu niishie kusema
I HATE MY DADY
Basi tuseme we ni kijana wa hovyoHakunifanyia kitu chochote kibaya na hakunifanyia kitu chochote kizuri.
Kama unajua biology huwezi sea hivyo,baba ndo aliamua wewe uzaliwe wa kiume,halafu unasema hakukufanyia chochote 😳 mswalie mtume kamanda😀😀😀Hakunifanyia kitu chochote kibaya na hakunifanyia kitu chochote kizuri.
Hakuna kama baba😀😀😀Hakuna kama mama
Mama kwanza then bana🤠Hakuna kama baba😀😀😀
Ungejua baba Yako anavyokupenda hata usingesema hivyo,kama unabisha mwambie nna shida Fulani home atakavyoitatua harakaMama kwanza then bana🤠