Kwenu watoto wa kiume, Mapenzi ya baba kwako utayatambua ukianza kujitegemea na kuhama kwenu, huenda utaona hata yale ya mama hayafikii

Ungekuwa karibu ningekusogezea maokoto mkuu...umetisha
 
Kwa sababu nazidi kujitambua na kumlinganisha na mimi mwenyewe. Huwa naona kama alifeli vibaya. Hapo namlinganisha na mimi ninavyowajibika kwa wanangu. Ninavyojari matatizo yao na ninavyoteseka kama watakuwa wanapitia magumu
Ulitamani wakati unazaliwa uzaliwe Masaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…