Kwenye Boksi la Kura, aliyemuweza Lissu ni Magufuli na hawa ndio walikuwa kwenye Mzani Sawa

JPM na Lisu wanafanana kwa kiwango kikubwa. Tofauti Zao ni ndogo hasa ya kutofuata sheria
 
Kura za mtandaoni hazimchagui Mwenyekiti wa CDM. Ila wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo humchagua Mwenyekiti wa CHADEMA.

KWA taarifa yako 70% ya wajumbe wa mkutano mkuu ni wale waliochaguliwa recently kwenye chaguzi za CHADEMA kikanda zilizoanza May 2024. Wameshinda kwa kinachoitwa na Lissu pesa chafu. Tayari wako kwenye mfumo, hamna namna LISSU atapata 30% ya kura za wajumbe.

Tutarudi hapa MTIBELI
 
Usiseme hivyo Mkuu
 
Inawezekana kweli Magufuli alimshinda Lisu, lakini hakuna uhakika alimshinda kwa kura ngapi, maana matokeo ya uchaguzi ule yalikuwa ya udanganyifu mkubwa. Ndio maana Magufuli alitangazwa mshindi lakini hakuwa na raha, na hadi anafariki, uchaguzi ule ni kama ulimuachia kidonda cha kisaikolojia. Kura za maporini unawezaje kusema alimshinda home and away?
 
Ukweli Mbowe anaweza kushinda uchaguzi huu, lakini chama kitakuwa kama CUF. Kumbuka hata Lipumba alishinda uchaguzi kwa wajumbe wa kuhongwa, lakini Maalim Seif ndio aliyekuwa na wafuasi, na alipohamia ACT aliondoka na wafuasi wote, leo hii CUF haichekani na TLP.
 
Mimi nilifanya survey kwa Mkoa wa Arusha na Moshi siku hiyo. Mambo yalikuwa Mabaya kwa Tundu Lisu
 
Mimi nilifanya survey kwa Mkoa wa Arusha na Moshi siku hiyo. Mambo yalikuwa Mabaya kwa Tundu Lisu
Ulifanya survey na hakuona idadi ya matokeo ya kura ilikuwa haiendani na idadi ya waliojitokeza kupiga kura, ama ukweli huu haukupendezi? Na huko si ndio hata mawakala wa upinzani hawakuwa wanaruhusiwa kuingia vituoni? Ama ukweli kwako una macho?
 
Waliiba Kura kwa hofu tuu. Ila Ile mechi Magufuli alikuwa ameshinda mapema Sana tena kwa kishindo.

Magufuli aliwawin wananchi Hilo tuu
 
Waliiba Kura kwa hofu tuu. Ila Ile mechi Magufuli alikuwa ameshinda mapema Sana tena kwa kishindo.

Magufuli aliwawin wananchi Hilo tuu
Nimecheka kwa nguvu, kama waliiba kura, unaweza vipi kusema alishinda kwa kishindo? Ukiamua kusema ukweli jitahidi mahaba yasizidi ukweli. Vinginevyo useme ukweli kwako hauna nafasi kuliko mahaba yako.
 
Lissu atashinda due to Public demand
 
Nimecheka kwa nguvu, kama waliiba kura, unaweza vipi kusema alishinda kwa kishindo? Ukiamua kusema ukweli jitahidi mahaba yasizidi ukweli. Vinginevyo useme ukweli kwako hauna nafasi kuliko mahaba yako.

Mkuu ninachokuambia ni Kweli.
Na Mimi 2020 nilimpigia Tundu Lisu Kura na haikuwa Siri,

Pamoja na kumpigia Kura Lisu ninajua siku Ile Ile mechi Magufuli alitushinda.
Nilifanya survey ndogo nikapata Majibu
 
Kwa sasa CCM tunahofia sana UPDP ya Fahmi Dovutwa kama mpinzani. CHADEMA chini ya Mbowe ni chama rafiki.
 
Huyu uliyempasia mpira ni kirusi cha ccm😄
 
Kwa sasa CCM tunahofia sana UPDP ya Fahmi Dovutwa kama mpinzani. CHADEMA chini ya Mbowe ni chama rafiki.

Yaani huu uchaguzi CCM wameshinda kwa namna yoyote Ile
Iwe Lisu au Mbowe yoyote akipita chadema kimepasuka hicho.

Mbowe asingegombea baada ya Lisu kutangaza.
Au Lisu asingegombea kabisa.

Sijui hawakukaa kikao hapo ndio najiuliza.

Maana kwa sasa hao ni mafahali wawili
 
Naona unaendelea kumpigania ropo ropo wako bwana chawa wa Lisu 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…