Kwenye Boksi la Kura, aliyemuweza Lissu ni Magufuli na hawa ndio walikuwa kwenye Mzani Sawa

Magufuli nihabari nyingine bro, usimlinganishe na vitu vya kawaida.

Mapaka sasaivi ndani ya CCM na Chadema kunawatu wanaogopa jinalake.

Wanaomtajataja kwa ubaya wanahofu mioyonimwao kwasababu wanajua reaction za wananchi dhidi ya raisiwao wa mfano mzuri kuwahi kutoka.

Nahuo ndio ukweli.

JPM na Lisu wanafanana kwa kiwango kikubwa. Tofauti Zao ni ndogo hasa ya kutofuata sheria
 
Hamjamboni wote!

Magufuli ndiye mtu pekee ambaye alimpiga Lisu home and away. Yaani mtandaoni na kwenye Boksi la Kura.

Kwa Sisi Watibeli wasema Kweli yote, tunasema Kiboko ya Lisu likuwa JPM kwenye suala la kupiga Kura
Lakini Kiboko ya JPM alikuwa ni Lisu kwa upande wa siasa za majukwaani.
Hii ni kusema Lisu na JPM ndio walitoshana kwa kiwango kikubwa.

Kwa sababu kitabia walikuwa wanafanana, tofauti ndogo iliyopo ni kuwa JPM hakuwa muumini wa kufuata Sana sheria na mambo ya demokrasia.
Ila mambo mengine wanafanana.

Sasa kwenye uchaguzi huu uliowakutanisha Mbowe na Lisu.
Wote tumashahidi kuwa Mpaka dakika hii Lisu anaongoza kwa Kura za mitandaoni kwa zaidi ya asilimia 80% huku mshindani wake Mbowe akiwa chini Sana.

Dalili zinaonyesha Lisu atamshinda Mbowe kwa kishindo.
Ikiwa hili litatokea Lisu atakuwa amempiga Mbowe Home and away.

Mambo yamewaka!

Kwako johnthebaptist
Kura za mtandaoni hazimchagui Mwenyekiti wa CDM. Ila wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo humchagua Mwenyekiti wa CHADEMA.

KWA taarifa yako 70% ya wajumbe wa mkutano mkuu ni wale waliochaguliwa recently kwenye chaguzi za CHADEMA kikanda zilizoanza May 2024. Wameshinda kwa kinachoitwa na Lissu pesa chafu. Tayari wako kwenye mfumo, hamna namna LISSU atapata 30% ya kura za wajumbe.

Tutarudi hapa MTIBELI
 
Kura za mtandaoni hazimchagui Mwenyekiti qa CDM. Ila wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo humchagua Mwenyekiti wa CHADEMA.

Usiseme hivyo Mkuu
 
Hamjamboni wote!

Magufuli ndiye mtu pekee ambaye alimpiga Lisu home and away. Yaani mtandaoni na kwenye Boksi la Kura.

Kwa Sisi Watibeli wasema Kweli yote, tunasema Kiboko ya Lisu likuwa JPM kwenye suala la kupiga Kura
Lakini Kiboko ya JPM alikuwa ni Lisu kwa upande wa siasa za majukwaani.
Hii ni kusema Lisu na JPM ndio walitoshana kwa kiwango kikubwa.

Kwa sababu kitabia walikuwa wanafanana, tofauti ndogo iliyopo ni kuwa JPM hakuwa muumini wa kufuata Sana sheria na mambo ya demokrasia.
Ila mambo mengine wanafanana.

Sasa kwenye uchaguzi huu uliowakutanisha Mbowe na Lisu.
Wote tumashahidi kuwa Mpaka dakika hii Lisu anaongoza kwa Kura za mitandaoni kwa zaidi ya asilimia 80% huku mshindani wake Mbowe akiwa chini Sana.

Dalili zinaonyesha Lisu atamshinda Mbowe kwa kishindo.
Ikiwa hili litatokea Lisu atakuwa amempiga Mbowe Home and away.

Mambo yamewaka!

Kwako johnthebaptist
Inawezekana kweli Magufuli alimshinda Lisu, lakini hakuna uhakika alimshinda kwa kura ngapi, maana matokeo ya uchaguzi ule yalikuwa ya udanganyifu mkubwa. Ndio maana Magufuli alitangazwa mshindi lakini hakuwa na raha, na hadi anafariki, uchaguzi ule ni kama ulimuachia kidonda cha kisaikolojia. Kura za maporini unawezaje kusema alimshinda home and away?
 
Ukweli Mbowe anaweza kushinda uchaguzi huu, lakini chama kitakuwa kama CUF. Kumbuka hata Lipumba alishinda uchaguzi kwa wajumbe wa kuhongwa, lakini Maalim Seif ndio aliyekuwa na wafuasi, na alipohamia ACT aliondoka na wafuasi wote, leo hii CUF haichekani na TLP.
 
Inawezekana kweli Magufuli alimshinda Lisu, lakini hakuna uhakika alimshinda kwa kura ngapi, maana matokeo ya uchaguzi ule yalikuwa ya udanganyifu mkubwa. Ndio maana Magufuli alitangazwa mshindi lakini hakuwa na raha, na hadi anafariki, uchaguzi ule ni kama ulimuachia kidonda cha kisaikolojia. Kura za maporini unawezaje kusema alimshinda home and away?

Mimi nilifanya survey kwa Mkoa wa Arusha na Moshi siku hiyo. Mambo yalikuwa Mabaya kwa Tundu Lisu
 
Ulifanya survey na hakuona idadi ya matokeo ya kura ilikuwa haiendani na idadi ya waliojitokeza kupiga kura, ama ukweli huu haukupendezi? Na huko si ndio hata mawakala wa upinzani hawakuwa wanaruhusiwa kuingia vituoni? Ama ukweli kwako una macho?
 
Waliiba Kura kwa hofu tuu. Ila Ile mechi Magufuli alikuwa ameshinda mapema Sana tena kwa kishindo.

Magufuli aliwawin wananchi Hilo tuu
 
Nimecheka kwa nguvu, kama waliiba kura, unaweza vipi kusema alishinda kwa kishindo? Ukiamua kusema ukweli jitahidi mahaba yasizidi ukweli. Vinginevyo useme ukweli kwako hauna nafasi kuliko mahaba yako.
 
Kura za mtandaoni hazimchagui Mwenyekiti qa CDM. Ila wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo humchagua Mwenyekiti wa CHADEMA.

KWA taarifa yako 70% ya wajumbe wa mkutano mkuu ni wale waliochaguliwa recently kwenye chaguzi za CHADEMA kikanda zilizoanza May 2024. Wameshinda kwa kinachoitwa na Lissu pesa chafu. Tayari wako kwenye mfumo, hamna namna LISSU atapata 30% ya kura za wajumbe.

Tutarudi hapa MTIBELI

Lissu atashinda due to Public demand
 
Nimecheka kwa nguvu, kama waliiba kura, unaweza vipi kusema alishinda kwa kishindo? Ukiamua kusema ukweli jitahidi mahaba yasizidi ukweli. Vinginevyo useme ukweli kwako hauna nafasi kuliko mahaba yako.

Mkuu ninachokuambia ni Kweli.
Na Mimi 2020 nilimpigia Tundu Lisu Kura na haikuwa Siri,

Pamoja na kumpigia Kura Lisu ninajua siku Ile Ile mechi Magufuli alitushinda.
Nilifanya survey ndogo nikapata Majibu
 
Kwa sasa CCM tunahofia sana UPDP ya Fahmi Dovutwa kama mpinzani. CHADEMA chini ya Mbowe ni chama rafiki.
 
Hamjamboni wote!

Magufuli ndiye mtu pekee ambaye alimpiga Lisu home and away. Yaani mtandaoni na kwenye Boksi la Kura.

Kwa Sisi Watibeli wasema Kweli yote, tunasema Kiboko ya Lisu likuwa JPM kwenye suala la kupiga Kura
Lakini Kiboko ya JPM alikuwa ni Lisu kwa upande wa siasa za majukwaani.
Hii ni kusema Lisu na JPM ndio walitoshana kwa kiwango kikubwa.

Kwa sababu kitabia walikuwa wanafanana, tofauti ndogo iliyopo ni kuwa JPM hakuwa muumini wa kufuata Sana sheria na mambo ya demokrasia.
Ila mambo mengine wanafanana.

Sasa kwenye uchaguzi huu uliowakutanisha Mbowe na Lisu.
Wote tumashahidi kuwa Mpaka dakika hii Lisu anaongoza kwa Kura za mitandaoni kwa zaidi ya asilimia 80% huku mshindani wake Mbowe akiwa chini Sana.

Dalili zinaonyesha Lisu atamshinda Mbowe kwa kishindo.
Ikiwa hili litatokea Lisu atakuwa amempiga Mbowe Home and away.

Mambo yamewaka!

Kwako johnthebaptist
Huyu uliyempasia mpira ni kirusi cha ccm😄
 
Kwa sasa CCM tunahofia sana UPDP ya Fahmi Dovutwa kama mpinzani. CHADEMA chini ya Mbowe ni chama rafiki.

Yaani huu uchaguzi CCM wameshinda kwa namna yoyote Ile
Iwe Lisu au Mbowe yoyote akipita chadema kimepasuka hicho.

Mbowe asingegombea baada ya Lisu kutangaza.
Au Lisu asingegombea kabisa.

Sijui hawakukaa kikao hapo ndio najiuliza.

Maana kwa sasa hao ni mafahali wawili
 
Hamjamboni wote!

Magufuli ndiye mtu pekee ambaye alimpiga Lisu home and away. Yaani mtandaoni na kwenye Boksi la Kura.

Kwa Sisi Watibeli wasema Kweli yote, tunasema Kiboko ya Lisu likuwa JPM kwenye suala la kupiga Kura
Lakini Kiboko ya JPM alikuwa ni Lisu kwa upande wa siasa za majukwaani.
Hii ni kusema Lisu na JPM ndio walitoshana kwa kiwango kikubwa.

Kwa sababu kitabia walikuwa wanafanana, tofauti ndogo iliyopo ni kuwa JPM hakuwa muumini wa kufuata Sana sheria na mambo ya demokrasia.
Ila mambo mengine wanafanana.

Sasa kwenye uchaguzi huu uliowakutanisha Mbowe na Lisu.
Wote tumashahidi kuwa Mpaka dakika hii Lisu anaongoza kwa Kura za mitandaoni kwa zaidi ya asilimia 80% huku mshindani wake Mbowe akiwa chini Sana.

Dalili zinaonyesha Lisu atamshinda Mbowe kwa kishindo.
Ikiwa hili litatokea Lisu atakuwa amempiga Mbowe Home and away.

Mambo yamewaka!

Kwako johnthebaptist
Naona unaendelea kumpigania ropo ropo wako bwana chawa wa Lisu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom