Kwenye ekaristi takatifu ni Yesu au Mungu katika nafasi tatu??

wanasomewa, siyo kusoma. wanaulizwaga wanasoma ili iweje. Biblia yenyewe hawaifuati, kwanini wasome
 
Yesu alisema! Chakula cha watoto Haifa kumpa mbwa. Watoto ni nani na mbwa ni nani, naomba ni julishwe.
 
Mama Maria alimzaa Yesu, ndio sahihi. Na Yesu ni mwana wa Mungu. Hivi mkuu ndani ya baadhi ya parokia za kanisa katoliki huwa kuna kanisa dogo linaitwa "Yesu wa Ekaristi". Nini maana ya Jina hili Yesu wa Ekaristi ?
 
Ukirisito kweli ni upagani ukitaka kuamini wafatilie kuanzia hawa wanao jiita mitume mapadri ndio kabisa kazi kuriwatwi watoto
Uzi ulikua unaenda vizuri, ushaanza kuujambia.
 
Inavyoaminika katika Ekaristi Takatifu, Yesu Kristo yupo kwa njia ya uwepo wake halisi kabisa, ambayo ni uwepo wa Mungu kwa njia ya Utatu Mtakatifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…