Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Yule jamaa (BOYKA) anachapa mkono wa kibabe sana
Kizibo
Wilder kapigwa kama mtoto aisee. Nikiflashback zile mbwembwe zake [emoji23][emoji23][emoji23] kuingia na vazi kama Monster.
Sasa J white usipomtaja kwa wazungu utamtaja wapi mkuu.? Nadhani alikuwa anamaanisha movie za Hollywood.Nimeshindwa mtaja huyu jamaa coz mwana kasema kwa wazungu
[emoji119]Ulishakutana na Jason Bourne ?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Nimeitazama Mara mbili mkuu
ππππScott vs Michael j white cheki mziki huo
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Halafu anasingizia vazi lilikuwa zito
Yaani avae yeye na lawama yeye [emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk
πππKuna Movie ya hatari inaitwa Triple threat kuna scot pia Maiko Jai Whait ni cheche hiyo movie
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha Meneja wa wa boyka, GAGA mzee wa kula karotiYule jamaa (BOYKA) anachapa mkono wa kibabe sana
Kizibo
Michael akikudaka anakuvunja mifupa yule na mamikono yake! Ni balaaKuna mjuba mwengine anaitwa Michael Jai White naye ni balaa na nusu...
Scot Adkins...Iam the most completed fighter in the world!!.
Sent using Jamii Forums mobile app