Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
2,481
Reaction score
4,014
Hellow wana Jf.

Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.

Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala?

Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?

359553.jpg

359539.jpg
 
Hellow wana Jf.

Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.
View attachment 3654763

Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda,bajaji/daladala?

View attachment 3654766

Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?
Hao huwezi kushindana nao mkuu, wao wanauza bidhaa ambayo wanachukia hela na wanabaki nayo ili waiuze tena na cycle ina repeat. Sisi wanaume nazima tutoke jasho, tuwalee watoto na wanawake wengine kama wao, sasa kwa hali hii unanunua gari saa ngapi mkuu?
 
Hakika mkuu kama hapa 👇 lazima uhonge gari.
359626.jpg
 
Back
Top Bottom