Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

Sasa kipi cha ajabu hapo mkuu!
-Hujui kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume?
-Hujui kuwa hizo gari wengine wanaendesha za waume zao
-Hujui kuwa mwanamke kama ana pesa na hana majukumu mengi lazima awe na usafiri wake binafsi hawapendi purukushani kabisa kwenye usafiri wa umma?
 
Shukrani mkuu.

Sasa nimejua WHY.
 
Hellow wana Jf.

Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.

Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala?

Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?

Hi statistics umeipata wapi au umefanyia wapo? Kwa nia njema ningependa kufaham
 
Hakika mkuu kama hapa 👇 lazima uhonge gari.
View attachment 3654774
Kwa hali yangu na uwezo wangu mdogo wa kufikiri, siwezi hata kuhonga simu.. Sijawahi kumpa mwanamke hyo kipaumbele.. kalamba hongo ndefu kwangu ni 50k.. Hela za kutumia pamoja tutatumia nyingi tu, lakini ya kumpa asepe nayo kamwe haito kuja kuzidi 50
 
50K mbona kubwa sana hiyo mkuu. Shusha dau, mwanamke sio mlemavu. Ana miguu miwili, mikono miwili, nguvu, akili timamu na masaa 24 ya kufanya kazi kama wewe.
 
Upo sawa kabisa. 50k ni maximum amount. Na mpaka nimetoa hiyo ujue pisi imetimiza baadhi ya vigezo vyangu mahususi, na ahakikishe awe anatokea familia maskini sana, awe mzuri, hajazaa na umri chini ya miaka 20, anapewa hiyo mbesai.
 
Back
Top Bottom