Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Wafuate wakupe mbinu
Unawatamani au unawaonea wivu?Hellow wana Jf.
Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.
Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala?
Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?
Mkuu mi nina baiskeli ya chama dola.Ongeza neno na wewe. Ni wakati wenu huu. Kutesa kwa zamu
Hatukwami tunawanunulia hizo gariHellow wana Jf.
Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.
Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala?
Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?
Good mkuu.Kwa hali yangu na uwezo wangu mdogo wa kufikiri, siwezi hata kuhonga simu.. Sijawahi kumpa mwanamke hyo kipaumbele.. kalamba hongo ndefu kwangu ni 50k.. Hela za kutumia pamoja tutatumia nyingi tu, lakini ya kumpa asepe nayo kamwe haito kuja kuzidi 50
Kazi zetu wamechukuwa wao, tumekuwa job lessHellow wana Jf.
Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.
Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala?
Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?
😀 vigezo na masharti kuzingatiwa.Upo sawa kabisa. 50k ni maximum amount. Na mpaka nimetoa hiyo ujue pisi imetimiza baadhi ya vigezo vyangu mahususi, na ahakikishe awe anatokea familia maskini sana, awe mzuri, hajazaa na umri chini ya miaka 20, anapewa hiyo mbesai.
Sina mkuu hata pikpk za kuchajiMkuu mimi tayari na_push Audi na BMW brand new model.
Labda wewe.