Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Usikute kati ya hao anaowasema robo wamenunuliwa na wanaumeUsiforce kushindana nao mkuu
Usikute kati ya hao anaowasema robo wamenunuliwa na wanaumeUsiforce kushindana nao mkuu
Halafu akupe frog style,usitoe gari?Hakika mkuu kama hapa 👇 lazima uhonge gari.
View attachment 3654774
Inaweza ikawa nusu kabisaUsikute kati ya hao anaowasema robo wamenunuliwa na wanaume
Inawezekana kabisaInaweza ikawa nusu kabisa
Hahahaha,sawa sawaUtakuwa na umasikini mkubwa usipo toa Gari.
KweliSema saizi vijana wakiume wengi wanajitambua hawapigwi kizembe kama zamani.
Vitu vidogo sana hivyo,hakuna mwanamke anasimama kiuchumi bila msaada wa, madume, hata Hao single maza, wanaojitapa mitandaoni, eti wana ndinga za milioni 700!, ni mapozeo ya watu tu!Hellow wana Jf.
Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.
Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala?
Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?
Wanawake wapo speed mkuu.Hili swali nilijiuliza pia siku Moja nilikuwa natoka Morocco kuelekea posta mida kama ya jioni kupitia Bagamoyo road aisee! Sio Magali tu ila ni Magali ya maana
Katika Range Rover nilizokutana nazo asilimia 90 ni wanao drive ni wadada