Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

Hao wanaoonga magari ndo wananishangaza sana.. Mtu anahonga gari ya 250M.. Hua najiuliza alipewa penzi la namna gani huyuu...🤔

Au aliingiza puani, vitu vingine vinaumiza sana kichwa.

Au tatizo ni umasikini wetu ndo maana tunashangaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀 umasikini Mkuu .

Mtu anapiga deals za milioni 100 mpaka 200 kwa muda mfupi. Hiyo 250M ni pesa ya kulishia mbwa kwa mwezi mmoja.😀(mfano wazee wa katoro).
 
😀😀 umasikini Mkuu .

Mtu anapiga deals za milioni 100 mpaka 200 kwa muda mfupi. Hiyo 250M ni pesa ya kulishia mbwa kwa mwezi mmoja.😀(mfano wazee wa katoro).
Kumbe tuache kujifanya hatutaki kutoa zaidi ya 50k, ni vile tukihonga 500k ndo hatuli tena bata miezi mitatu, na kimkweche kinapaki home maana hela ya mafuta tunakosa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndugu yangu, ukianza kuhesabu mihongo, utaishia kuua! Fomula ni kuhonga kile cha ziada kama unatupa vile. Hata ukiona amempakiza mwanaume mwingine katika hilo gari, unafurahi kwa vile ulimwezesha wakati na yeye wakati huo alikuondolea uhanga.
Kweli wewe ni mzee umekomaa Mkuu.

Hakika warembo/taifa linafaidika na uwepo wako.
 
Kumbe tuache kujifanya hatutaki kutoa zaidi ya 50k, ni vile tukihonga 500k ndo hatuli tena bata miezi mitatu, na kimkweche kinapaki home maana hela ya mafuta tunakosa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅 Daaa! Mkuu umenichekesha sana aisee God bless you Man.

Lazima ujikune unapo weza mkuu otherwise utalala njaa.
 
Mleta mada ungechukua Muda wako kufikiria kwa umakini kabla ya kukurupuka.

Hivi wewe hujui kama wale wanawake hizo gari wamenunuliwa na waume zao.
Acha kugeneralize.
 
Back
Top Bottom