Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

Hellow wana Jf.

Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.

Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala?

Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?


Tunawanunulia kwa kuwa wanajua kula na kipofu (mizee sie)! Nyie papara na wake zetu, la sivyo nanyi pia mgenunuliwa kama hao wasichana (wake zetu wazee)!

Kila binadamu anahitaji kiburudisho na kiburudisho Gharama. Hakunaga K ya bure kwa under 25, lazima uigharamie mwanaume hususan ukiwa lizee
 
😀 vigezo na masharti kuzingatiwa.

Ingawa mkuu kusema ukweli unamwaga kibunda kingi sana Mzee 50k parefu sana discount muhimu Mkuu.
Shekh hiyo ni maximum amount, kwamba haitakiwi kuzidi hapo (japo mara chache hua inazidi). Kuna vitu tight mkuu😁😁😁

Japo kuna wengine mkimaliza inabidi umpe buku tano ya boda tu, maana ya mungu menge. Hata kumpeleke mwenyewe inakua jau, anapanda gari ya nani akato HALINOGI HODARI 🤣🤣
 
Wanawake wana akili, yaani mnajikuta wapanda daladala na bajaji sita mmemchangia yeye kununua gari, tena ya maana.

Pia michezo wanayocheza na VICOBA vimewatoa sana. Wanakopeshana hadi 30M. Wanaume tunafarijiana Bar tu.
 
Tunawanunulia kwa kuwa wanajua kula na kipofu (mizee sie)! Nyie papara na wake zetu, la sivyo nanyi pia mgenunuliwa kama hao wasichana (wake zetu wazee)!

Kila binadamu anahitaji kiburudisho na kiburudisho Gharama. Hakunaga K ya bure kwa under 25, lazima uigharamie mwanaume hususan ukiwa lizee
😀 Mkuu inaonekana wewe ni lizee li_SIMP.

Vipi umefanikiwa kuhonga gari ngapi Mzee(Vijana tujifunze)?
 
Shekh hiyo ni maximum amount, kwamba haitakiwi kuzidi hapo (japo mara chache hua inazidi). Kuna vitu tight mkuu😁😁😁

Japo kuna wengine mkimaliza inabidi umpe buku tano ya boda tu, maana ya mungu menge. Hata kumpeleke mwenyewe inakua jau, anapanda gari ya nani akato HALINOGI HODARI 🤣🤣
😀😀 hapo sawa Mwenyekiti.
 
😀😀 hapo sawa Mwenyekiti.
Hao wanaoonga magari ndo wananishangaza sana.. Mtu anahonga gari ya 250M.. Hua najiuliza alipewa penzi la namna gani huyuu...🤔

Au aliingiza puani, vitu vingine vinaumiza sana kichwa.

Au tatizo ni umasikini wetu ndo maana tunashangaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
😀 Mkuu inaonekana wewe ni lizee li_SIMP.

Vipi umefanikiwa kuhonga gari ngapi Mzee(Vijana tujifunze)?
Ndugu yangu, ukianza kuhesabu mihongo, utaishia kuua! Fomula ni kuhonga kile cha ziada kama unatupa vile. Hata ukiona amempakiza mwanaume mwingine katika hilo gari, unafurahi kwa vile ulimwezesha wakati na yeye wakati huo alikuondolea uhanga.
 
Back
Top Bottom