Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

😀😀 mkuu so ukipigwa wese la upako wewe ndiyo tu sio?

Naona kama sio kweli.
Siku moja nilikuwa hoteli moja, nikaamua kutafuta kampani mtandaoni, alipokuja tukawa tunaongea, baada ya shoo akajipaka mafuta ya upako wa yule jamaa wa barabara, kumuuliza kwa nini unatumia, akasema anakuwa anapata wateja wazito.​
 
😀 aisee noma sana Mkuu.
Mafuta ya mvuto.
 
Hellow wana Jf.

Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.

Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala?

Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?

Sisi wanaume ndio kazi yetu kuwahonga wanawake magari. Sasa hata tusipo drive Wala sio shida. Hii ndio formula ya watafutaji
 
Back
Top Bottom