Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

Wanaume wengi wanasukuma vyuma vyenyeuwezo wakuleta maamuzi ya uchumi wa nchi,familia angalia malori 95%,mabasi 97%,daladala 99%,mafuso 100%,tex99.9%,DFP,STK,SU,PT, JW angalia v8 za mataasi,za umma,binafsi angalia magali ya kitalii hayo yote wanaendesha na kumili kwa 85% kwa ujumla wake na uchumi wake
 
Wanawake wanapambana sasa,wengi wao wanajitambua na wameelimika,so wana weza kuhustle na wakawin batle.
#NAWAPONGEZA.
japo kuna baadhi yao wanatumia njia haramu km kutoa kinyeo ili kujipatia mali.
Design hii 👇 nazani hawa ndiyo utakuwa hauwapongezi mkuu.
360393.jpg
 
Wanaume wengi wanasukuma vyuma vyenyeuwezo wakuleta maamuzi ya uchumi wa nchi,familia angalia malori 95%,mabasi 97%,daladala 99%,mafuso 100%,tex99.9%,DFP,STK,SU,PT, JW angalia v8 za mataasi,za umma,binafsi angalia magali ya kitalii hayo yote wanaendesha na kumili kwa 85% kwa ujumla wake na uchumi wake
Mkuu ume_analyse vizuri sana.

Naamini taifa litakuwa linafaidika sana na uwepo wako.
 
Hellow wana Jf.

Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake.

Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala?

Hizi sketi zinatuzidi wapi wakuu?


Asikwambie mtu babu,kuishi na watu tabu
"
Wanaume siku zote uwepo wetu inaonekana,Ila Kama mtu anataka kuuficha ,huwa tunamwachia ukumbi"
MAJIBU YAPO KWENYE QURAN NA BIBLE.
 
Back
Top Bottom