Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

Hili swali nilijiuliza pia siku Moja nilikuwa natoka Morocco kuelekea posta mida kama ya jioni kupitia Bagamoyo road aisee! Sio Magali tu ila ni Magali ya maana
Katika Range Rover nilizokutana nazo asilimia 90 ni wanao drive ni wadada
 
Vitu vidogo sana hivyo,hakuna mwanamke anasimama kiuchumi bila msaada wa, madume, hata Hao single maza, wanaojitapa mitandaoni, eti wana ndinga za milioni 700!, ni mapozeo ya watu tu!
 
Wanawake wapo speed mkuu.

Wanapush vitu vizito.
 
Vitu vidogo sana hivyo,hakuna mwanamke anasimama kiuchumi bila msaada wa, madume, hata Hao single maza, wanaojitapa mitandaoni, eti wana ndinga za milioni 700!, ni mapozeo ya watu tu!
Basi tunatumikishwa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…