Kwenye haya Maisha kuna watu ni untouchable , hii nimejifunza kwa njia ngumu.

Mimi ukinitendea mabaya yale ya kuuma, nikalia aisee kufa hufi ila cha moto utakiona. Sikuwa najua ila wenyewe wamekuwa wanarudi kuomba msamaha, kama kuna sehemu walinikosea!!!

Nina mengi ya kueleza ila watu yanawapata hivi, na ukiuliza mbona unataka nikusamehe kuna nini? Kuna wanaoelezea yaliyowakuta baada ya kunifanyia hayo mabaya. Na kuna wanaosema tu, nimejisikia kuomba msamaha ama kuona kama kuna kitu nilikukosea!!! Kwahiyo huwa natulia tu, nikiona mtu ananichokonoa namuangalia najua kitamlamba muda si mrefu.
 
Na vip walokuumiza moyo? 😂😂😂
 
Aisee
 
Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .

Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .

Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana

Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.

Mimi mwenyewe najiuliza hii ni nguvu ya aina gani? Kila anayekujaribu anapoteana?.
Hii sio story Mkuu, Mimi nilifukuzwa kazi mwaka 2013,Meneja na baadhi ya wafanyakazi walitoa ushahidi wa kunikandamiza!Baada ya hapo,walianza kufa, Mmoja mmoja!Kuna mmoja alinitafuta na kuniambia alikosea sana kunitolea ushahidi,Huyu yupo hadi Sasa.Ni Mungu tuu anayejua Sina ushirikina kabisa,Wala sio mcha Mungu sana,ila nimesaidia watu wengi sana.
 
Back
Top Bottom