Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Ukweli Mkuu!Basi utakuwa na pure heart, Ogopa sana innocent man unayemfanyia ubaya na asikuchukie wala kukukusudia lolote baya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli Mkuu!Basi utakuwa na pure heart, Ogopa sana innocent man unayemfanyia ubaya na asikuchukie wala kukukusudia lolote baya.
Huyu anabeads za kumlindaHuyo jirani yako sio tundulisu kweli?
You look humbleHakuna mkamilifu, nakosea na huwa naomba samahani nikijua nimekosea mimi. Kuna mazuri na mabaya maishani. Ila huwa naogopa kumfanya mtu aumie sana na kulia. Sababu najua maumivu yake, mimi mtu nikimfanya ajisikie wa thamani, mwenye furaha ndiyo kitu napenda. Ila usivuke Red line.
No, kuna watu wa aina hiyo na hakuna wanachoficha.Hajakuambia tu, anajua vizuri. However watu huwa wana siri
Mbona mimi uliniliza?Hakuna mkamilifu, nakosea na huwa naomba samahani nikijua nimekosea mimi. Kuna mazuri na mabaya maishani. Ila huwa naogopa kumfanya mtu aumie sana na kulia. Sababu najua maumivu yake, mimi mtu nikimfanya ajisikie wa thamani, mwenye furaha ndiyo kitu napenda. Ila usivuke Red line.
Ninyi watu wa hivi kila mnalogusa huwa linaenda ama sijaelewa.Umeona basi unajua na umekutana na wa aina hii. Utanifanya nimwage mchele kwenye kuku wengi 😅😅😅😅 ukiona hadi mtu anakiri kuwa una nyota kali sana. Toka umekuwa kwenye maisha yangu, kila nachogusa kinaenda, zaidi hata kilivyotakiwa kuwa 🙌🙌🙌🙌🙌
Sasa mkuu kama mnaishi ushuani mtaibiwaje na kurogwa?Baba angu mzazi ( R. I. P) alikuwa na hiyo nguvu pia.
Sisi kwenye ukoo wetu huwa hatuibiwi, haturogwi wala kudhulumiwa.
Na wewe ushaanza kuwa mlamba asali...
Kuwika kivipi
'Kupoteana' ndiyo kufanyaje?Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .
Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .
Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana
Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.
Mimi mwenyewe najiuliza hii ni nguvu ya aina gani? Kila anayekujaribu anapoteana?.

Narudia tena, amebakishwa kuja kutoa shuhuda, regardlwss awike kama jogoo au mtetea
Miaka ya zamani kulikuwa na tamaduni yakumfanya mtoto asiwe mzurulaji.Uzi wa vitukuu vya mwanamalundi
Kupoteana ndio kufanyajeNilichojifunza sio kila mtu anagusika .