Kwenye hili suala la El Nino ndiyo utagundua Watanzania wengi uwezo wa kufikiri uko chini sana!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,480
Reaction score
38,367
Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!

Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!

Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!

Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “weather forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
 
Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!

Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!

Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!

Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “whether forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Kumbe siko peke yangu ambaye nime-observe hili jambo, it's sad, hizo kejeli na kupuuza tahadhari kutacost watu maisha yao na wengine shughuli zao za kiuchumi na biashara.

Ilikua hivi hivi 1997/1998 then maafa yakatokea, kwa kipindi hicho unaweza kusema ilikua ni ukosefu wa taarifa, ila 2026/2027 mtu hana excuse ya kua mjinga!

Nakuunga mkono bwashee cc . Binti wa zamani
Mimi pia 💯, kuna watu wengi sana wanaopenda kurukia rukia vichwa vya habari bila kuchukua muda kufahamu ukweli wa mambo.
 
Kiukweli huo ujinga nimeuona fb na insta huko sikutegemea kabisa km na humu kuna vichwa panzi tena wa kutosha kuna uzi wamejianika walivyo mamburula, watz ni wajinga jamani eeeuhiiih kwa hali hii ccm bado ipo maana ujinga mwingi ndo ushindi wao,
 
Kumbe siko peke yangu ambaye nime-observe hili jambo, it's sad, hizo kejeli na kupuuza tahadhari kutacost watu maisha yao na wengine shughuli zao za kiuchumi na biashara.

Ilikua hivi hivi 1997/1998 then maafa yakatokea, kwa kipindi hicho unaweza kusema ilikua ni ukosefu wa taarifa, ila 2026/2027 mtu hana excuse ya kua mjinga!

Mimi pia 💯, kuna watu wengi sana wanaopenda kurukia rukia vichwa vya habari bila kuchukua muda kufahamu ukweli wa mambo.
Kipindi cha nyuma jf ilikua ndio chanzo cha kwanza cha habari na wengine wanafuata 😅

Ila now makanjanja wanaokoteza tu mpaka Facebook wanaposti🤣

Ndio maana naona mimi ni post kwa akili yangu na kwa vibe husika 😅😅 nikipost utumbo chanzo iwe ni mimi tu😅😅😅
 
Hata mimi asieeeh, acha JF ibaki sehemu ya kujifurahisha tu, nikianza kuichukulia serious nitaishia kukwazika tu.
 
JF kwenye mada kama hizi comment ya kwanza ndiyo inaamua uelekeo wa maoni ya uzi mzima!

Itoshe tu kusema,"Moja ya changamoto iliyopo kwenye jamii ni wajinga kujiona werevu"

Mara zote TMA wamehusisha el nino na utabiri wa mvua juu ya wastani na ndiyo huko kubadilishwa kwa ratiba ya mitihani ya kitaifa na mihula ya masomo halafu MTU unakuja kuita watu wajinga!!
 
Uwepo wa mvua za El Nino umetabiriwa hadi na vyombo vikuu vya hali ya hewa ya dunia, sasa nashangaa unakuta mtu anaiponda TMA as if ni TMA pekee ndio imetumia vyombo vyake na wao pekee ndio wametabiri hivyo.

Katika hilo inaonekana kabisa Watz bado akili ipo nyuma sana.
 
Ndiyo maana unaitwa utabiri, unaweza kutokea au usitokee au ukatokea kwa kiwango juu au chini na kile kilichotabiriwa. Lakini unasemaje juu ya high end leader mmojawapo alipita mkoa fulani akaiombea na kuwahakikishia washiriki kuwa "kwa jina la...", el ninyo kamwe haiwezi kutokea? Kwa andiko hili naye atakuwa upande upi wa category za watanzania?
 
Nakuunga mkono bwashee cc . Binti wa zamani
Huyu hana time sijui Elnino inyeshe ama isinyeshe yeye ni mwendo wa kuhakikisha kila Mtanzania anapata mezani mlo kamili.
Screenshot_20260919_094518_Instagram.jpg

MamaSamia2025
 
Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!

Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!

Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!

Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “whether forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Nilikua namfafanulia mtu hili jambo.... Yaani mtu anakujibu kirahisi kabisa Mungu ataepusha...

Yaani unam Scan mtu ufahamu wake unagundu hakuna namna utamuelewesha akakuelewa.

Niliishiwa power.
 
Kipindi cha nyuma jf ilikua ndio chanzo cha kwanza cha habari na wengine wanafuata 😅

Ila now makanjanja wanaokoteza tu mpaka Facebook wanaposti🤣

Ndio maana naona mimi ni post kwa akili yangu na kwa vibe husika 😅😅 nikipost utumbo chanzo iwe ni mimi tu😅😅😅
Weekend ifike tu mkuu ukakonge zako nyoyo 😁
 
Back
Top Bottom