Kwenye hili suala la El Nino ndiyo utagundua Watanzania wengi uwezo wa kufikiri uko chini sana!

Kwenye hili suala la El Nino ndiyo utagundua Watanzania wengi uwezo wa kufikiri uko chini sana!

Lakini TMA walitangaza mvua za el-nino wakatangaza na mikoa itakayoathirika

Serikali ikatenga sh b7 za kukabiliana na madharau yatakayojitokeza, na hata ratiba za mitihani mashuleni zikabadilishwa

Au Mimi ndo sikuelewa
 
Ujinga mwingine ni kukubali kila wanchosema wanaojiita wataalam na wenye mamlaka.
 
Hata wewe Mkuu unataka kutuonesha upo so smart hapa
Ni kweli naonyesha nipo smart kwa kuonyesha watu wapo so smart. Ili ujue hilo, aje mwingine atoe hoja ya El Nino na namna serikali inavyopiga propaganda zake.
 
Back
Top Bottom