Kwenye hili suala la El Nino ndiyo utagundua Watanzania wengi uwezo wa kufikiri uko chini sana!

Kwenye hili suala la El Nino ndiyo utagundua Watanzania wengi uwezo wa kufikiri uko chini sana!

Maisha ya mtandaoni magumu sana, ona sasa hapa everyone is smart. Noma sana!
 
Juzi amehojiwa wasafi akasema ni VYOTE ... Inategemea na eneo.... Cha ajabu Leo tunaambiwa wajinga ..wakati hao werevu ndio walitangaza "mvua za el nino" na viongozi wao mambulula wakaanza kuruka na slogan... Leo wanasema ni jua tena sio mvua... Sasa hela iliyotengwa b700+ kujitahadari na mvua zinaenda wapi !? Halafu linakuja bumunda linaanza KUITA watu wajinga.....wakati wajinga ni wao
Nchi inaongozwa na wapumbavu, na baadhi ya wananchi wanathibitisha n kweli wao n wapumbavu
 
Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!

Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!

Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!

Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “weather forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
bila shaka utakuwa unafanyakazi TMA, Ama unahusika na zile bilioni za El-nino
 
Sawa tayri mmekula kodi z watanganyika zaidi ya bilion 700+. Na ss mmekuja n story mpya kua kuna kimbunga ili mle tena pesa za watanganyika wanyonge. Endeleeni kula kodi zao. Kimbunga mmetenga kiasi gani mpk ss?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Juzi amehojiwa wasafi akasema ni VYOTE ... Inategemea na eneo.... Cha ajabu Leo tunaambiwa wajinga ..wakati hao werevu ndio walitangaza "mvua za el nino" na viongozi wao mambulula wakaanza kuruka na slogan... Leo wanasema ni jua tena sio mvua... Sasa hela iliyotengwa b700+ kujitahadari na mvua zinaenda wapi !? Halafu linakuja bumunda linaanza KUITA watu wajinga.....wakati wajinga ni wao
Kwanini hawakusema vyote tangu awali wakakomaa na mvua, kumbe kuna kimbunga ilitakiwa wanaoishi milimani wahame sio wa mabondeni tu. Haya kumbe ni mgandamizo wa hela zile hela zitafanyaje kazi maana hatujaona namna joto linavyopunguzwa
 
Mbona basi TMA kupitia vyombo vya habari walikuwa hawazungumzii ukame ambao Sasa umeshamiri sehemu kubwa nchini? Je facts and research lazima zilete uhalisia? Wasibezwe waumini wa dini
 
Halafu mnawaita Watanzania wajinga, wakati nyie werevu hamjatoa maelezo sasa hizo Billion zitaenda kusaidia nini ?
 
Mbona basi TMA kupitia vyombo vya habari walikuwa hawazungumzii ukame ambao Sasa umeshamiri sehemu kubwa nchini? Je facts and research lazima zilete uhalisia? Wasibezwe waumini wa dini
Wakiulizwa wanaruka ruka, wamekomaa tu kwenye mvua kubwa
 
Au ngoja tusubiri maana walisema ni Oct-Dec
 
Juzi amehojiwa wasafi akasema ni VYOTE ... Inategemea na eneo.... Cha ajabu Leo tunaambiwa wajinga ..wakati hao werevu ndio walitangaza "mvua za el nino" na viongozi wao mambulula wakaanza kuruka na slogan... Leo wanasema ni jua tena sio mvua... Sasa hela iliyotengwa b700+ kujitahadari na mvua zinaenda wapi !? Halafu linakuja bumunda linaanza KUITA watu wajinga.....wakati wajinga ni wao
Hawaoni kundule...hawajui kuwa unapokelewa kama walivyokuja?
Walianza vyema na mpaka pesa zikatengwa,"mvua za el nino" walisema wao na si Wananchi..wengi sana wamechukua hatua..tuliotembea tembea huko tunajua...

Then unakuja mchana kweupe...unaanza kuleta dana dana...kwa nini watu wasibeze.
 
Kwani wamesema hakutakuwa na mvua, wamesema athari za El nino ni pamoja na mvua..na ukanda wetu kinachotarajiwa ni mvua, kwanini mnakuwa wagumu wa kuelewa hivyo? Hata chattgpt hamuwezi kutumia?
Sasa kosa la watanzania hadi unawaambia wanna uwezo mdogo wa kufikiri lipo wapi hapo?
Kama athari ni pamoja na mvua, na wao wamejadili mvua kosa lao lipo wapi.
Na wewe tuwekee athari ni joto nayo tutajadili TU.
Ninachokiona hapa wewe ndio ulikuwa hujui,baada ya yule mtaalamu kuelezea ndio ukahisi umeelewa kuliko wengine ndio ukatuletea hiki ulichokileta tena sio kwa akili zako,ni kwa msaada wa chattgtp
 
Mimi nadhani wewe una mtindio wa ubongo. Suala hapa ni connection ya bilioni 800 zilizotengwa na hiyo ‘phenomena’ ya Elnino, shida ipo hapo. Kama Elnino ilianza mwezi wa 5, kwanini walisema itaanza mwishoni mwa mwezi wa 9?

Kama ilianza mwezi wa 5, kwanini taarifa za tahadhari na makelelenya TMA yalianza mwezi wa 8?

Na kwanini pesa hazikutengwa kabla ya mwezi wa 5
Mkuu mtoa mada nahisi katumwa ili wapime upepo wa kuila hiyo bilioni 800.
Halafu badala ya kuja na hoja,kaja na matusi eti tuna uwezo mdogo wa kufikiri.
Yeye ndio anajiona bonge la msomi kisa chattgpt
 
Back
Top Bottom