Kwenye hili suala la El Nino ndiyo utagundua Watanzania wengi uwezo wa kufikiri uko chini sana!

Aisee Lowasa aliona mbali sana!
Mi naona
Aisee Lowasa aliona mbali sana!
Mi naona kabla hujakosoa akili ya watanzania engine,anza na akili Yako wewe kwanza.
Suala la El nino limezungumzwa kidunia,hapa kwetu.
Serikali yetu ikatimiza majukumu yake na kutoa tahadhari kwa wananchi wake wakinasibisha na mvua.
Tena walisema Moja Kwa Moja ni mvua na zitaanzia mwezi wa Tisa na kushamiri mwezi wa kumi.
Na wakataja maeneo yatakayoathirika na kutahadharisha waishio mabondeni.
Leo hii mtu TU anasema el nino sio mvua,sawa sio mvua kwa nini ratiba za mitihani zilirudishwa nyuma?
Waliogopa joto?
 
Huyu hana time sijui Elnino inyeshe ama isinyeshe yeye ni mwendo wa kuhakikisha kila Mtanzania anapata mezani mlo kamili.
View attachment 3696448

MamaSamia2025
Vipi huyo bonge akikutunuku, unaenda chumvini
Mimi nilimpata miaka ile bado hajawa bonge, nilipiga sana deki

1792705846540.jpeg
 
Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “whether forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Basi waambie wakae kimya na wasiwe wanabashiri baada ya habari kuisha tutaangalia Bashiri za duniani huko kweengine, halafu wewe watu kutoa maoni yao kinakuuma nini?

Yaan mtu kaangalia maelezo na yeye akasema ngoja na mimi nitoe maoni yangu ninavyoona mimi kwamba hawa wanakosea moja mbili tatu kipi kinachokuuma sana au umepewa mgao kwenye zile Billion 700 za mchongo? Km haujaambulia hata 100 kaa kimya tu wenzio wanaingiza hela wewe unaingiza maneno matupu wanajenga mahekalu wewe umafanya nini?

Ndio el nino ni mvua el nino ni joto el nino ni ukame vyote sawa, sasa wamehamisha magoli wanasema hawakusema mvua za el nino bali walisema mvua za vuli na sasa kinachoendelea hakuna mvua basi kuna el nino ya joto na ukame, kwa hio km ulipokea mgao kwenye zile Billion 700 nenda kajeengee lile pagale lako kule ambalo bado halijaisha
 
shida sio hizo EL-NINO shida ni serikali yenu ya kihuni kushindwa kuwaweka wazi watanzania zaidi ya kulifanya suala la kisiasa, hizo pesa zimepigwa na hakuna la maana wamefanya, mwanzoni walidai kuwa ni mvua wala hawakuzungumzia kuhusu ubashiri wa kutokea joto au mvua bali mvua pekee hivyo wakahitaji pesa za marekebisho ya njia na mikondo ya maji, kumbe hawana uhakika zaidi ya kujitengenezea ulaji kupitia hiyo bajeti feki ya bil700.

Ni kweli watanzania wengi ni wajinga lkn wanasiasa wanautumia ujinga huu kujinufaisha wao, ukitazma mienendo ya watu humu mitandaoni utagundua ni aina gani ya jamii tuliyo nayo ambayo miongoni mwake ndio hao hao viongozi.

shida ya hii nchi ipo kwa raia ambao tulipaswa kukataa kuongozwa na wajinga ambao hawana uwezo wa kiakili na kiutendaji, inashangaza mtu mjinga kutawaliwa na mjinga zaidi yake.

huo utoto wa watu mnaouona mitandaoni hizo sasa ndio akili za viongozi wenu pia nukuu suala la yule MISS nini sijui kwa jinsi alivyopewa attention na serikali yenu kiasi ambacho hatujawai kuona wakipewa watu muhimu wanaoleta manufaa ya kiuchumi na kielimu nchini, badala yake support kubwa wanapewa makahaba na wanamitindo wasio na mchango kwa jamii.

hapa nchini tu kuna wavumbuzi wengi pia tuna watanzania wengi nje ya nchi wanaofanya mambo ya maana lkn hawapewi support yoyote ile ya kuwatia moyo ili kuwamotivate raia wa nchi hii wawe kama wao au wapewe support wazidi kusonga mbele lkn serikali inakumbatia upuuzi.

hii ndio aina ya akili za watanzania, kuanzia raia wa kawaida mpaka viongozi wote ni vilaza watupu
 
Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!

Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!

Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!

Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “whether forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Waache tu hao ndio watakuwa wa kwanza kuilaumu serikali.
 
Shida siyo El Nino! Wananchi tunataka mtupatie mchanganuo wa zile bilioni 700+ mlizozitenga kwa ajili ya hiyo El Nino. Hela zetu mshazipiga kwa kisingizio cha El Ninyo. Wananchi siyo wajinga kama unavyofikiri. Ila nyinyi serikali ndiyo wezi wakuu wa kodi zetu.
 
Na ww kilaza mmoja hivi kwa hiyo kisa wana sayansi wametabili basi ww unawaona wanao amini Mungu atuepushe na el nino ni vilaza.Mara ngapi wametabili na haitokei acha kuona sayannsi ndo kila kitu Mungu ndio kila kitu ww kilaza
 
Mkuu sijui umetumwa kuhamisha magoli au na wewe hukuelewa!?
Hivi hapa nchini kwetu nani alitangaza kuwa kutakuwa na mvua za el-nino?
Kwani wamesema hakutakuwa na mvua, wamesema athari za El nino ni pamoja na mvua..na ukanda wetu kinachotarajiwa ni mvua, kwanini mnakuwa wagumu wa kuelewa hivyo? Hata chattgpt hamuwezi kutumia?
 
Mi naona

Mi naona kabla hujakosoa akili ya watanzania engine,anza na akili Yako wewe kwanza.
Suala la El nino limezungumzwa kidunia,hapa kwetu.
Serikali yetu ikatimiza majukumu yake na kutoa tahadhari kwa wananchi wake wakinasibisha na mvua.
Tena walisema Moja Kwa Moja ni mvua na zitaanzia mwezi wa Tisa na kushamiri mwezi wa kumi.
Na wakataja maeneo yatakayoathirika na kutahadharisha waishio mabondeni.
Leo hii mtu TU anasema el nino sio mvua,sawa sio mvua kwa nini ratiba za mitihani zilirudishwa nyuma?
Waliogopa joto?
Dah hivi huwa mnasikiliza na kuelewa kweli? Kuna mahali wamesema athari za el nino hapa kwetu ni joto?
 
Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!

Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!

Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!

Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “whether forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Shida ni pale watu wakianbia El Nino wanadhami ni mvua tu
 
Mimi nadhani wewe una mtindio wa ubongo. Suala hapa ni connection ya bilioni 800 zilizotengwa na hiyo ‘phenomena’ ya Elnino, shida ipo hapo. Kama Elnino ilianza mwezi wa 5, kwanini walisema itaanza mwishoni mwa mwezi wa 9?

Kama ilianza mwezi wa 5, kwanini taarifa za tahadhari na makelelenya TMA yalianza mwezi wa 8?

Na kwanini pesa hazikutengwa kabla ya mwezi wa 5
 
Back
Top Bottom