Kwenye hili suala la El Nino ndiyo utagundua Watanzania wengi uwezo wa kufikiri uko chini sana!

Kwenye hili suala la El Nino ndiyo utagundua Watanzania wengi uwezo wa kufikiri uko chini sana!

Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!

Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!

Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!

Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “whether forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Si bure kwenye b700 umegawiwa ***** wewe
 
EE04CE12-FAB1-43CF-8827-77330D857B61.jpeg
 
Kumbe siko peke yangu ambaye nime-observe hili jambo, it's sad, hizo kejeli na kupuuza tahadhari kutacost watu maisha yao na wengine shughuli zao za kiuchumi na biashara.

Ilikua hivi hivi 1997/1998 then maafa yakatokea, kwa kipindi hicho unaweza kusema ilikua ni ukosefu wa taarifa, ila 2026/2027 mtu hana excuse ya kua mjinga!


Mimi pia 💯, kuna watu wengi sana wanaopenda kurukia rukia vichwa vya habari bila kuchukua muda kufahamu ukweli wa mambo.
Kama unazijua kiundani habari za El nino za mwaka 97/98 na haujasimuliwa na mtu!

Basi kumbe nijipe ujasiri niendelee na mipango yangu, wewe ni mkubwa mwenzangu
 
Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!

Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!

Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!

Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “whether forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Whether forecast..halafu unaita wenzako wajinga...
 
Mimi naomba nichangie, nadhani kwenye hili sio ujinga wa watu kama unavyosema, bali ni hao hao TMA na serikali, wao walisema kuanzia October kutakuwa na mvua kubwa na watu wajiandae, na serikali kwa kuona hivyo ikatenga bajeti kwa ajili ya hilo jambo, ikaenda mbele kupitia wizara ya Elimu ikalazimisha ratiba zote zibadilike na kuishia mwezi wa 11 tofauti ile kawaida, sasa kwa hatua zilizochukuliwa halafu huyo huyo TMA anasema Elininyo ilianza tangu mwezi wa tano, na mvua zinazotarajiwa ni za wastani, hii inatofautiana na na kile walicho sema hapo awali.

Ndio kuna vyanzo vingi duniani vilivyoripoti kuhusu Elinino lakini athari haziwezi kuwa sawa hivyo kila nchi inachukua tahadhari kulingana na namna inavyookana kwa kutumia vyombo vyao vya hali ya hewa kama ilivyo kwetu kwa kutumia TMA, sasa swali linabaki kama mambo yamebadilika tofauti na ilivyodhaniwa hizo hela ziko wapi??
 
Yani wewe ndo empty set
Upo sahihi, hiyo empty set itumie kupangia files zako 😎

Anyway, angalia kauli zao kipindi wanaanza kuongelea hiyo elmino then angalia na kauli zao za sasa. Kwan mwanzo hawakujua hilo?

OK, tusiende mbali, mbona nyie hamkuleta hizi taarifa mwanzoni, mmesubiri TMA wamebadili kauli ndo nanyi Mnaleta hizi mada?

Au ndo mnajitetea baada ya kula hayo mabilioni, fungu lako lilikuwa sh ngapi?
 
Naomba kuchangia hoja hapa:

Nimesoma vizuri bandiko hili na nimwgunduq kwamba Hapa kuna utetezi wa mapenzi ya kisiasa au mtu fulani, iwe ni kiongozi or anything else.

Naomba nikukumbushe kwamba Serikali imetenga Bilioni 730+ kwaajiri ya udhibiyi na uhokoaji pale El Niño itakapolikumba taifa, swali ni Je, Madai ya sasa ya TMA yanayosha kualalisha Fedha zilizotengwa kuwa si Upigaji.?

Pia ukisema El Niño ilianza muda means TMA walidanganya na kwa ukweli kamili ni kwamba kwetu hatukuona kiashilia chochote kinachoweza kubeba jina El Niño, iwe ni mvua, joto, kimbunga, tetemeko la adhri n.k vyote hakuna kilichotokea.

Tafadhari usijifanye kipofu kwenye mambo yanayoonekana wazi kabisa.
Wanaowatetea hao TMA ni wapumbavu tuu, nao wameshiriki kula mgao hvy lazima watete
 
Haya mje mtuambie yale mabilioni yanazuia vipi mgandamizo wa hali ya hewa 😂
 
Labda tuanzie hapa Elininyo ni nini? Je ni mvua, ni mwandamizo wa hali ya hewa, au ni kimbunga?
 
Upo sahihi, hiyo empty set itumie kupangia files zako 😎

Anyway, angalia kauli zao kipindi wanaanza kuongelea hiyo elmino then angalia na kauli zao za sasa. Kwan mwanzo hawakujua hilo?

OK, tusiende mbali, mbona nyie hamkuleta hizi taarifa mwanzoni, mmesubiri TMA wamebadili kauli ndo nanyi Mnaleta hizi mada?

Au ndo mnajitetea baada ya kula hayo mabilioni, fungu lako lilikuwa sh ngapi?
Ok
 
Labda tuanzie hapa Elininyo ni nini? Je ni mvua, ni mwandamizo wa hali ya hewa, au ni kimbunga?
Juzi amehojiwa wasafi akasema ni VYOTE ... Inategemea na eneo.... Cha ajabu Leo tunaambiwa wajinga ..wakati hao werevu ndio walitangaza "mvua za el nino" na viongozi wao mambulula wakaanza kuruka na slogan... Leo wanasema ni jua tena sio mvua... Sasa hela iliyotengwa b700+ kujitahadari na mvua zinaenda wapi !? Halafu linakuja bumunda linaanza KUITA watu wajinga.....wakati wajinga ni wao
 
Back
Top Bottom