min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Nakula monde mpaka sasa bwashee 🤣🤣 bia tamu 😅Weekend ifike tu mkuu ukakonge zako nyoyo 😁
Nakula monde mpaka sasa bwashee 🤣🤣 bia tamu 😅Weekend ifike tu mkuu ukakonge zako nyoyo 😁
Job true true bwashee 😁, piga majiNakula monde mpaka sasa bwashee 🤣🤣 bia tamu , kama hela ipo Bank hakuna kungoja weekend bwashee 😅
Na wabongo wengi wako hivyo, haishangazo ndo maana tupo hapa tulipo!Nilikua namfafanulia mtu hili jambo.... Yaani mtu anakujibu kirahisi kabisa Mungu ataepusha...
Yaani unam Scan mtu ufahamu wake unagundu hakuna namna utamuelewesha akakuelewa.
Niliishiwa power.
Katika sehemu iliyo jaa vilaza ni humu jf sema wamejificha kwenye majina bandia tu.Kiukweli huo ujinga nimeuona fb na insta huko sikutegemea kabisa km na humu kuna vichwa panzi tena wa kutosha kuna uzi wamejianika walivyo mamburula, watz ni wajinga jamani eeeuhiiih kwa hali hii ccm bado ipo maana ujinga mwingi ndo ushindi wao,
Kweli mkuu wamo wa kutoshaKatika sehemu iliyo jaa vilaza ni humu jf sema wamejificha kwenye majina bandia tu.
waeleze wajimga el nino ni nini ili wasiwe wajingaKuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!
Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!
Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!
Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “whether forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Nyakati zote kabla ya hiyo jana, TMA walikuwa wanazungumzia el nino kama mvua juu ya kiwango cha kawaida.Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!
Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!
Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!
Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “whether forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Whether forecast??!! Sawa mkuu.Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!
Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!
Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!
Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “whether forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Yani wewe ndo empty setMshapiga mabilioni, mnaanza kutapatapa kubadili kauli
Mara ya kwanza mlisema ni mvua, mkashangazwa na jua kali.
Sasa hv mmekimbilia kwenye mgandamizo 😂
Hahahaha ni hatari mno kwanza asilimia kubwa wengi hawajui hata maana halisi ya El Nino ni nini.Nilikua namfafanulia mtu hili jambo.... Yaani mtu anakujibu kirahisi kabisa Mungu ataepusha...
Yaani unam Scan mtu ufahamu wake unagundu hakuna namna utamuelewesha akakuelewa.
Niliishiwa power.
FactNaomba kuchangia hoja hapa:
Nimesoma vizuri bandiko hili na nimwgunduq kwamba Hapa kuna utetezi wa mapenzi ya kisiasa au mtu fulani, iwe ni kiongozi or anything else.
Naomba nikukumbushe kwamba Serikali imetenga Bilioni 730+ kwaajiri ya udhibiyi na uhokoaji pale El Niño itakapolikumba taifa, swali ni Je, Madai ya sasa ya TMA yanayosha kualalisha Fedha zilizotengwa kuwa si Upigaji.?
Pia ukisema El Niño ilianza muda means TMA walidanganya na kwa ukweli kamili ni kwamba kwetu hatukuona kiashilia chochote kinachoweza kubeba jina El Niño, iwe ni mvua, joto, kimbunga, tetemeko la adhri n.k vyote hakuna kilichotokea.
Tafadhari usijifanye kipofu kwenye mambo yanayoonekana wazi kabisa.
Yani wewe ndo empty set
Hii issue wanasiasa na TMA wote wanafuta backdoorMleta mada,
Mimi naona issue sio ujinga kama unavyodai bali ni watu wengi kuchukulia kila jambo kisiasa,
Mtu anaweza akawa anajua au ana uelewa na jambo husika ila atapotosha kwa msukumo wa mambo ya ushabiki wa kusiasa tu,
Huko Bongo kila mtu ni mjuaji,kila mtu ni mchambuzi wa masuala yote!