Kwenye hili suala la El Nino ndiyo utagundua Watanzania wengi uwezo wa kufikiri uko chini sana!

Nchi yetu bado inawajinga wengi sana ,nashangaa mpaka Magreat Thinkers Wa JF na Influencers wasomi nao wanaleta mzaha kwenye swala kama hili ,inatia kinyaa na kusikitisha

"Elimu ,Elimu Elimu "
Lowassa alisema .
Nyie ndiyo mnachukulia mambo kimzaha wanaojielewa hawaweki mambo mengi wanajua na wamezingatia tahadhari,mlitakaje watu watembe uchi ndiyo ijulikane wamechukua tahadhari,ahh wakuu mbadilike
 
Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!

Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!

Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!

Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “weather forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Ishu sio el nino itokee ama isitokee ishu ni Ile bajeti Kaka, sorry umekosea sana kuita watu wajinga.
 
Mkuu kwa heshima tunayokupa umekengeuka kidogo mimi nachukizwa sana na watu wanaopaniki kwenye situation za hatari,wengi wenye kujielewa wameshachukua tahadhari kuanzia nyumbani kwako kuweka mambo sawa ili likitokea jambo unaanza na familia yako kuilinda so hatuwezi kupaniki mpaka tujaze nyuzi humu tumeshapewa angalizo hakuna aliedharua nani asiejua kuna manadiliko ya hali ya hewa
 
Ila ni uongo wa TMA na wewe pia umeuvaa mkenge toka lini El nino ikawa jua?? Sasa hizo pesa billion kadhaa zitalizuia vipi hilo jua??Na kama el nino ni jua basi huko mashariki ya kati kila siku ni el nino maana jua la kule joto kali uwa inagota 45 hadi 50,. Huyo kilaza wa TMA kawaingiza chaka na nyie mmeingia kichwa kichwa. Za kuambiwa changanya za kwako.
 
Sa nyingine ni umasikini tu unasababisha watu kutafuta penye faraja, mtu anaishi bondeni, hana pa kwenda, ela ya chakula kwa siku hana ukikwambia mambo ya sayansi inasema weka chakula ndani, amia maeneo ya juu njaa inamuambia MUNGU yupo.
 
Mkuu kwa heshima tunayokupa umekengeuka kidogo mimi nachukizwa sana na watu wanaopaniki kwenye situation za hatari,wengi wenye kujielewa wameshachukua tahadhari kuanzia nyumbani kwako kuweka mambo sawa ili likitokea jambo unaanza na familia yako kuilinda so hatuwezi kupaniki mpaka tujaze nyuzi humu tumeshapewa angalizo hakuna aliedharua nani asiejua kuna manadiliko ya hali ya hewa
Halafu unajiandaa kwa urefu wa kamba yako yasiyowezekana unabaki ukisali tu yasitokee.

Kwani nikuulize mkuu, tukiambiwa kuna jiwe linakuja kuanguka Tanzania kutoka angani inabidi kila mtanzania ahame unadhani nini kitakachotokea? Wenye uwezo watahama wasio na uwezo wataingia kwenye imani kuwa haitatokea.
 
Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!

Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!

Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!

Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “weather forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
wajinga wengi saaana - el nino sio lazima iwe mvua
 
Halafu unajiandaa kwa urefu wa kamba yako yasiyowezekana unabaki ukisali tu yasitokee.

Kwani nikuulize mkuu, tukiambiwa kuna jiwe linakuja kuanguka Tanzania kutoka angani inabidi kila mtanzania ahame unadhani nini kitakachotokea? Wenye uwezo watahama wasio na uwezo wataingia kwenye imani kuwa haitatokea.
Nimecheka mkuu dah huo mfano dahwe jamaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah aisehhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umewaza vizuri sana ila ndiyo ukweli huo ila niemcheka dah🤣
 
Mi naona

Mi naona kabla hujakosoa akili ya watanzania engine,anza na akili Yako wewe kwanza.
Suala la El nino limezungumzwa kidunia,hapa kwetu.
Serikali yetu ikatimiza majukumu yake na kutoa tahadhari kwa wananchi wake wakinasibisha na mvua.
Tena walisema Moja Kwa Moja ni mvua na zitaanzia mwezi wa Tisa na kushamiri mwezi wa kumi.
Na wakataja maeneo yatakayoathirika na kutahadharisha waishio mabondeni.
Leo hii mtu TU anasema el nino sio mvua,sawa sio mvua kwa nini ratiba za mitihani zilirudishwa nyuma?
Waliogopa joto?
fact hapo wasiwaone watu wajinga taarifa za awali zilijieleza kuwa kutakuwa na mvua tena mwezi wa 9 tu watu wameacha mpaua kufyatua tofari zitaloa na mvua
kama el mino ingeanza na joto bona hawakugawa feni za kujikinga na eli mino
 
Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!

Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!

Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!

Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii “weather forecast”, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
We ukishaona mtu kuishi na uchafu anaona kawaida mpaka Rais wa nchi alalamike kwamba dar ni chafu ndo watu washituke kuanza operation za usafi, ujue watu hao uwezo wa kufikiri uko chini sana.
 
😀Ndo hivyo mkuu.
Nakumbuka kipindi nipo chuo nilikua na rafiki yangu sasa siku moja tumetoka chuo tunaenda kungalia mpira UEFA hiyo sasa eneo tuliopita watu wanakabwa sana na vibaka ah tukajiami tukapita wee zikatokea njema tatu na wana visu sasa mwana kapaniki hadi kulia aiseh nilimzabuw kibao mpaka walevibaka waliogopa nilitaka kumrudisha katika utulivu maana sisi tuko wawili wao watatu na wana visu mkuu huwezi amini wale jamaa waliniogopa sana wakasepa na sio kama mimi sikujaa upepo sema huwa najizuia sana sipendi kupaniki katika hatari yoyote
 
Hahaha, ukaona jamaa anavyolia ndo anaharibu ukaona isiwe tabu.
 
Yani uoga wako ndiyo udhaifu wako nikaona hapa tutapigwa tutaumizwaa na tutaporwa kila kitu kama yatatokea basi yasiwe kinyonge sasa mwana anaonyesha kukata tamaa mapema sana nikaona hapa ni kama nipo peke yangu ila kibao kilimrudishia network
 
Ulifanya maamuzi sahihi, kulia jamaa alipanik sana aisee.
 
fact hapo wasiwaone watu wajinga taarifa za awali zilijieleza kuwa kutakuwa na mvua tena mwezi wa 9 tu watu wameacha mpaua kufyatua tofari zitaloa na mvua
kama el mino ingeanza na joto bona hawakugawa feni za kujikinga na eli mino
Kabisa mkuu,siku zote hizi wasiseme halafu mtu TU amevimbiwa huko anajitokeza kwenye media na kusema elnino ni joto tena imeanza mwezi wa Tano.
Kama ndivyo kwa nini mitihani isingefanyika mwezi wa tatu na wanne.
 
Back
Top Bottom