Aisee Lowasa aliona mbali sana!Nchi yetu bado inawajinga wengi sana ,nashangaa mpaka Magreat Thinkers Wa JF na Influencers wasomi nao wanaleta mzaha kwenye swala kama hili ,inatia kinyaa na kusikitisha
"Elimu ,Elimu Elimu "
Lowassa alisema .
Ujinga bado unaendelea kuwatafuna asilimia kubwa ya Watanzania.Aisee Lowasa aliona mbali sana!
Kumbe siko peke yangu ambaye nime-observe hili jambo, it's sad, hizo kejeli na kupuuza tahadhari kutacost watu maisha yao na wengine shughuli zao za kiuchumi na biashara.Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!
Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!
Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!
Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii βwhether forecastβ, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Mimi pia π―, kuna watu wengi sana wanaopenda kurukia rukia vichwa vya habari bila kuchukua muda kufahamu ukweli wa mambo.Nakuunga mkono bwashee cc . Binti wa zamani
Kipindi cha nyuma jf ilikua ndio chanzo cha kwanza cha habari na wengine wanafuata πKumbe siko peke yangu ambaye nime-observe hili jambo, it's sad, hizo kejeli na kupuuza tahadhari kutacost watu maisha yao na wengine shughuli zao za kiuchumi na biashara.
Ilikua hivi hivi 1997/1998 then maafa yakatokea, kwa kipindi hicho unaweza kusema ilikua ni ukosefu wa taarifa, ila 2026/2027 mtu hana excuse ya kua mjinga!
Mimi pia π―, kuna watu wengi sana wanaopenda kurukia rukia vichwa vya habari bila kuchukua muda kufahamu ukweli wa mambo.
Hata mimi asieeeh, acha JF ibaki sehemu ya kujifurahisha tu, nikianza kuichukulia serious nitaishia kukwazika tu.Kipindi cha nyuma jf ilikua ndio chanzo cha kwanza cha habari na wengine wanafuata π
Ila now makanjanja wanaokoteza tu mpaka Facebook wanapostiπ€£
Ndio maana naona mimi ni post kwa akili yangu na kwa vibe husika π π nikipost utumbo chanzo iwe ni mimi tuπ π π
Hahahaπ π jf ni kichaka kikubwa , unaishi humu halafu unasepa bila kuwaza π unarudi una flow na biti tu πHata mimi asieeeh, acha JF ibaki sehemu ya kujifurahisha tu, nikianza kuichukulia serious nitaishia kukwazika tu.
Huyu hana time sijui Elnino inyeshe ama isinyeshe yeye ni mwendo wa kuhakikisha kila Mtanzania anapata mezani mlo kamili.Nakuunga mkono bwashee cc . Binti wa zamani
Bwashee wewe na hilo tukunyema , sijui limekuwekea nini hilo manyama uzembe πHuyu hana time sijui Elnino inyeshe ama isinyeshe yeye ni mwendo wa kuhakikisha kila Mtanzania anapata mezani mlo kamili.
View attachment 3696448
MamaSamia2025
Hahahahahaaaaa umenifanya leo naenda kulala mbavu zinauma balaaπππππππBwashee wewe na hilo tukunyema , sijui limekuwekea nini hilo manyama uzembe π
Tako kama uso wa kiboko π πHahahahahaaaaa umenifanya leo naenda kulala mbavu zinauma balaaπππππππ
Nilikua namfafanulia mtu hili jambo.... Yaani mtu anakujibu kirahisi kabisa Mungu ataepusha...Kuna mambo yanaendelea humu mitandaoni mpaka unakaa unajiuliza Watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo hivi? Toka TMA wameanza kutoa updates kuhusu El nino wamekuwa wakikutana na kejeli za kila aina na nyingine kutoka humu humu Jf kwa watu wanajiita Great Thinkers!
Ujue katika dunia ya sasa suala la information zipo kiganjani, ukiamua kuwa mjinga huo ni uamuzi wako! Sasa hata ukimsikiliza mtaalam wa TMA katika mahojiano yake ya karibuni, katoa ufafanuzi mzuri kabisa kwamba El Nino sio mvua, na ilishaanza toka mwezi Mei huko, sasa watu wamedaka maneno juu juu wanaanza kudai TMA wamesema Elnino ni joto na sio mvua!
Wengine wanaenda mbali kwamba TMA sio Mungu, Mara Mungu ataepusha..yan mtu anapiga blah blah kwenye scientific facts, yeye analeta imani!
Kwa jinsi technolojia ilivyokuwa mimi sikutegemea watu wawe wajinga kwa kiwango hiki, maana taarifa za El nino huu mwaka zimezagaa dunia nzima katika media mbali mbali, kingine TMA sio chanzo pekee cha hii βwhether forecastβ, na hakuna namna yeyote wanaweza kuja hadharani na kuanza kudanganya watu!
Weekend ifike tu mkuu ukakonge zako nyoyo πKipindi cha nyuma jf ilikua ndio chanzo cha kwanza cha habari na wengine wanafuata π
Ila now makanjanja wanaokoteza tu mpaka Facebook wanapostiπ€£
Ndio maana naona mimi ni post kwa akili yangu na kwa vibe husika π π nikipost utumbo chanzo iwe ni mimi tuπ π π