MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Sasa mtu anaoa mwanzo wa ramadhani anaacha baada ya idi ufanye sherehe ya nini? Si utafilisika?Kuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!
Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.
Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.
Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.
Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.
Kuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!
Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.
Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.
Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.
Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.
Ila ndoa ambazo hufungwa mwezi huu wa Ramadhan hazina maisha. Baada tu ya kufungua nazo zinafunguka. Ni kama ndoa za kimkataba tu.Kuna jamaa angu ni muislam, ananiambia nikitaka kuoa ili nisiingie gharama kubwa niwe muislam nikaoe huko kwa gharama nafuu. Hapa mtaani ndoa ya kiislam imefungwa fasta, maandazi tu na chai mtu akafungishiwa ndoa!
Ukristo haujasema watu wafanye harusi na ndoa za gharama,nenda kanisani funga ndoa bKuna jamaa angu ni muislam, ananiambia nikitaka kuoa ili nisiingie gharama kubwa niwe muislam nikaoe huko kwa gharama nafuu. Hapa mtaani ndoa ya kiislam imefungwa fasta, maandazi tu na chai mtu akafungishiwa ndoa!
Huongelei kabisa siku hizi habari za kipenzi chenu Hadi nimemsahau jina!
Kwani wewe Una shida gani! Kuwa ngangania Wakristu wawe Waislam?? wakristu kwa wingi wao wakisilim Mademu awatatosha Peponi! So bakini naoKuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!
Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.
Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.
Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.
Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.
Nakuachana ni simple tu like thatKuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!
Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.
Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.
Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.
Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.
ndoa za mkeka mwezi huu mtukutu wa ramadhani huwa ni nyingi sanaaaa!! Mwezi wao mtukutu ukiisha wanaachana!! Ko sishangai wakitumia chini ya 50000. Gharama za nini na wakati ndoa haitadumu hata miezi 3?Kuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!
Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.
Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.
Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.
Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.
Kumekucha kumekuchaKamA una mwanaume wa kikristo mwambie akuoe tu hizo ndoa wakristo huwa wanazo hata za watu 20 .ndoa na harusi ni vitu Viwili tofauti itakuwa hufahamu kuwa wakristo katika hilo hawana cha kujifunza coz they do that. Mwambie jamaa yako akuoe asitafute visingizio. AKUOE HATA NEXT WEEK
kuna pasta hapa ni mhafidhina, hapendi ndoa za gharama na mbwembwe nyingi. Ndoa inafungwa hapohapo panageuka ukumbi na msosi unaliwa hapohapo. Msosi wenyewe waumini wamechanga kufanikisha ndoa ya mshirika mwenzao. Cha msingi ulipe mahari tu, habari ya misosi waumini watakuchangia kwa kadri ya bajeti ya walaji watakaohudhuria, hakuna michango ya kadi wala kiingilieUkristo haujasema watu wafanye harusi na ndoa za gharama,nenda kanisani funga ndoa b
Hata ktk bible ipo hvyo ,Kumb 21:23 ,maiti isikae zaidi ya saa 24. Wanaisrael waliambiwaHapo ndipo napowakubali wenye mwezi wao, na kwenye kuzika.