Twende mahakamani leo hii nani wanaongoza kwa kudai talaka? Tena zenu mnojiita wasomi ndo hazidumu kabisaaa mna elimu mnaiacha kwenye vyeti tu sio matendoSasa mtu anaoa mwanzo wa ramadhani anaacha baada ya idi ufanye sherehe ya nini? Si utafilisika?
Mtu anaweza kuoa hata mara 10 anaoa anaacha anaoa anaacha... si balaa hili...
Wakristo ukioa ndio basi tena huyo ni wako wa kufa na kuzikana na hiyo process mpaka mtu apate talaka ni balaa....
Kwa kifupi kila mtu ashinde mechi zake....
Hapo ndipo napowakubali wenye mwezi wao, na kwenye kuzika.
Utetezi wako mrefu sananikipata mda nitasomauzito wa ndoa kwenye Christianity ni tofauti kabisa na islam, ndoa ya islamic pia inavunjika mara moja wakati wowote ule, kama unaelewa Christianity kuna ubatizo, komunio na ndoa hizo ni hatua muhimu katika maisha ya Christian na ndiyo maana zote zina sherehe ubatizo una sherehe, komunio ina sherea na vilevile baba lao ndoa pia, hivyo ni tofauti kabisa, muslims hawana kitu kama hicho na ndoa kwa muslims haina maana yoyote ile na ndiyo maana inaweza kuvunjwa muda wowote ule na pia inaweza kufungwa hata na wanawake 4 siyo kitu special kwani kinaweza kurudiwa mara nyingi kwa muslims vs Christians ndoa ni hatua muhimu sana ktk maisha ya Christians, hivyo ndiyo maana Christians wanasherehekea na ndiyo maana ya maisha, watu wanaishi wakiwa na kumbukumbu ya ndoa yao ilivyokuwa wana album na picha nzuri za sherehe wanazitunza kama kumbu kumbu na hii yote ndiyo maana ya maisha, inaleta faraja.
fikiria ulishawahi labda kuangalia picha za graduation yako sekondari au hata chuo miaka iliyopita hauoni kama inaleta kumbu kumbu na furaha fulani kwamba ni ukurasa ktk maisha yako ambayo hauwezi kurudi tena ni tofauti kama hauna, hivyo hiyo ndiyo moja kati ya sabubu pia ya Christians kufanya ndoa kuwa siku muhimu kabisa ktk maisha yao kwani haitakuja kutokea tena, kwa hiyo ni sawa kusherehekea ...
Nying sana hiyo achana naeAisee kuna maasai napanga kumwoa ila mahari n laki 3
Wapo vizuri hawana njaaNdoa na Ijabu na Qabul...hizo nyengine zote ni mbwembwe tu.
Na hio kwa Dini zote sio uislam tu.
Halafu boss Kipepe hio arusi ulioenda wewe sema ni ya watu wa hali ya chini na sio kwa sbb ya waislam. Kuna arusi zinafanyika za waislam kubwa sana zinagharimu mamilioni ya pesa tena arusi inafanyika siku siku 5 au 7 na kwa upande mwengine kwa wakristo kuna arusi nazo zinafanyika za kimaskini, maarausi wanakula viapo kwa ndoa...imeisha hiooo
Na hilo ndugu kipepe unalijua vzr sana basi tu umetamani kuleta hii mada ili watu wachangie negative ndio furaha yako
Sasa wale ni watu maarufu wanapenda kujionyesha, na huyo ninaesema sio kama ana njaaHuyo ni maskini. Uliona ndoa ya Ali kiba,ya mtoto GSM,za manara,ya aziz K???? Usikariri maisha kijana
Nilienda kanisani tu nikaona watu wa 4 wakaja hapo kanisani .Kuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!
Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.
Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.
Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.
Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.
Basi kusema kuwa arusi haijagharimu hata 50000 sio kweli. Elfu 50 hata kama dhifa kisheti na kahawa basi haitoshi wacha kuandika uongo, utadhani weye ndio ulikuwa mshika fedha wa shughuliWapo vizuri hawana njaa
KObaz ndio wakali wa hizo mamboNilienda kanisani tu nikaona watu wa 4 wakaja hapo kanisani .
Wakafunga ndoa ilikuwa ijumamosi uzuri kwaya ilikuwa wanafanya practice basi kwaya wakaamua kuwaimbia na wawili hao kumbe ni mke namume na wale wengine ni washenga walipomaliza wakashukuru wakaingia kwenye prado haooo. Kwani harusi ya lulu si ilikuwa hivyoo .
Mie nataka harusi yangu iwe hivyoo.
Ni amani tu
Kazi ya pesa ni kutumia kwenye vitu vya maana, sio kuharibuKazi ya pesa ni kutumika, ya nini kutafuta pesa kwa shida halafu mfurahie maisha kwa kikombe cha uji na andazi, that's madness!!
Sawa sawaUsisahau kutuletea mrejesho baada ya hii Ramadhani, Waislamu wanaoana kipindi hiki ili wapelekeane moto then baada ya Ramadhan wanaachana
Elfu50 nmekadiria juu sana lakini ile ilikua 42 au 45, maana sisi ndio tulikua wahusika wakuu wa kununua vituBasi kusema kuwa arusi haijagharimu hata 50000 sio kweli. Elfu 50 hata kama dhifa kisheti na kahawa basi haitoshi wacha kuandika uongo, utadhani weye ndio ulikuwa mshika fedha wa shughuli
Kweri na nisiku yakoKazi ya pesa ni kutumika, ya nini kutafuta pesa kwa shida halafu mfurahie maisha kwa kikombe cha uji na andazi, that's madness!!
Waislam wana taratibu nyepesi sana kwenye suala la ndoa, fasta tu wamefunga bila mambo mengi. Hata hivyo, tofauti nyingine kubwa ni kuwa, kwa Wakristu, ndoa ni sakramenti ila kwa Waislam, ndoa ni mkataba wa kawaida kama vile mtu ananua bajaji au nyumba.Kuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!
Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.
Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.
Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.
Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.
Na kwenye mazishi.?Waislam wana taratibu nyepesi sana kwenye suala la ndoa, fasta tu wamefunga bila mambo mengi. Hata hivyo, tofauti nyingine kubwa ni kuwa, kwa Wakristu, ndoa ni sakramenti ila kwa Waislam, ndoa ni mkataba wa kawaida kama vile mtu ananua bajaji au nyumba.
Utetezi wako mrefu sananikipata mda nitasoma