Lazima uzikute nyingi huko mana wakristo kuachana na mbinde tofauti na nyie kobaz mnaamua tuu.Sisi wakristo tunaoa kwa gharama lakini mahakamani zimejaa kesi zetu za kudaiana talaka
ndioKwamba mtu akivaa suti hiyo ni kiashiria kwamba ni mkristo?
Sasa lucha, nyie mtaenda mahakamani kufanya nini ikiwa taraka tatu unaweza zituma kwa SMS, whatsapp au ukaiandikia kimemo kama unaagiza viungo vya mboga sokoni.Sisi wakristo tunaoa kwa gharama lakini mahakamani zimejaa kesi zetu za kudaiana talaka
Maisha yafaa nini bila kufurahi na ndugu, jamaa na marafiki.Wengine huwa wanakopa au wanaanza kusumbua kutaka michango. Mfukoni ana milioni 4, bajeti ya harusi milioni 20. Mtu hauna ili wala lile unajikuta tu umeungwa kwenye kundi la michango ya harusi.
Mkuu mm nilijuaga talaka za waislam zina process maybe shekhe atie mhuri au Hata mashahidi wapitishe hilo.Sasa lucha, nyie mtaenda mahakamani kufanya nini ikiwa taraka tatu unaweza zituma kwa SMS, whatsapp au ukaiandikia kimemo kama unaagiza viungo vya mboga sokoni.
Urahisi wa kuachana kwa ndoa za kiislamu ndio unaondoa hekaheka. Nothing else
Kwamba Rais wa China, Xi Jinping n mkristo?ndio
Makobaz bhana 😂
Umemaliza yooooteeeeee😘uzito wa ndoa kwenye Christianity ni tofauti kabisa na islam, ndoa ya islamic pia inavunjika mara moja wakati wowote ule, kama unaelewa Christianity kuna ubatizo, komunio na ndoa hizo ni hatua muhimu katika maisha ya Christian na ndiyo maana zote zina sherehe ubatizo una sherehe, komunio ina sherea na vilevile baba lao ndoa pia, hivyo ni tofauti kabisa, muslims hawana kitu kama hicho na ndoa kwa muslims haina maana yoyote ile na ndiyo maana inaweza kuvunjwa muda wowote ule na pia inaweza kufungwa hata na wanawake 4 siyo kitu special kwani kinaweza kurudiwa mara nyingi kwa muslims vs Christians ndoa ni hatua muhimu sana ktk maisha ya Christians, hivyo ndiyo maana Christians wanasherehekea na ndiyo maana ya maisha, watu wanaishi wakiwa na kumbukumbu ya ndoa yao ilivyokuwa wana album na picha nzuri za sherehe wanazitunza kama kumbu kumbu na hii yote ndiyo maana ya maisha, inaleta faraja.
fikiria ulishawahi labda kuangalia picha za graduation yako sekondari au hata chuo miaka iliyopita hauoni kama inaleta kumbu kumbu na furaha fulani kwamba ni ukurasa ktk maisha yako ambayo hauwezi kurudi tena ni tofauti kama hauna, hivyo hiyo ndiyo moja kati ya sabubu pia ya Christians kufanya ndoa kuwa siku muhimu kabisa ktk maisha yao kwani haitakuja kutokea tena, kwa hiyo ni sawa kusherehekea ...
Na mtu usipotoa hua wananuna balaaWengine huwa wanakopa au wanaanza kusumbua kutaka michango. Mfukoni ana milioni 4, bajeti ya harusi milioni 20. Mtu hauna ili wala lile unajikuta tu umeungwa kwenye kundi la michango ya harusi.
Huna ulijualo mimi nimesoma najua ninachokiongeaSasa nyie si mnaachana kwa talaka tatu tu hata mahakamani hamuendi so ndoa za kiislamu ni chache mahakamani kwa sababu hamfuati utaratibu mnamalizana kwa kadhi. Si unakumbuka ishunya dokta mwaka kesi ilikua kwa sheikh wa Dar.
Wasomi tunafuata process na tunajua kuna kugawana mali ukishangaa unaweza geuka masikini dakika sifuri....
Kusoma raha sheikh.... hata wale waislamu waliopiga shule wanafuata sheria na wana mke mmoja....
Si unaona matajiri wa kiislam kina Mo na wengine.
Makobaz bhana, sasa umekaa na kobaz mwenzako hata miaka mitano then mnaona then hammalizi wiki mnaachana unaoa mwngn Ndo unajiona mnajitambua?Huna ulijualo mimi nimesoma najua ninachokiongea
Ndoa zenu ni gereza
Mkishachokana wanandoa bora muachane tu kuliko kuuwana mpk kupigana mkaa
EbwanaweeeElfu50 nmekadiria juu sana lakini ile ilikua 42 au 45, maana sisi ndio tulikua wahusika wakuu wa kununua vitu
Umepaniki? Sherehe ni mbwembwe tu. Ndoa inaishia pale kanisani. Kiongozi wa dini, wasimamizi, pete na mkataba basi.
Sasa maandazi na uji yanagharama gani?Ebwanaweee
Sasa wale ni watu maarufu wanapenda kujionyesha, na huyo ninaesema sio kama ana njaa
Sasa kule kuuwana ndo kujitambua? Akili kumkichwaMakobaz bhana, sasa umekaa na kobaz mwenzako hata miaka mitano then mnaona then hammalizi wiki mnaachana unaoa mwngn Ndo unajiona mnajitambua?
Wangapi wameuana?Sasa kule kuuwana ndo kujitambua? Akili kumkichwa
Madhali umeshakiri mm sina shidaWangapi wameuana?
Nimekiri wapMadhali umeshakiri mm sina shida