me ndio napasubiria hapo.Ukisikiliza kwa makini suala linaihusu Zanzibar. Msisitizo haupo kwenye kufanya maamuzi kama collective body. Msisitizo upo kwenye hii ni nchi yenye muungano wa serikali mbili. Zote zipo sawa. Suala hapo kuna maslahi ya Watanganyika yapo rehani. Hili koti kuna siku litakua gumu mno kulivaa.
Huwa nafurahi sana nikiona yule mpumbafu anapondwa humu.Dikteta alivuruga Nchi, acha mama aweke Mambo sawa,
Nyie misukule ya dikteta mkafie mbele huko
Nafikiri ungemuonea huruma huyu mama yako maana kila analogusa holaaDikteta alivuruga Nchi, acha mama aweke Mambo sawa,
Nyie misukule ya dikteta mkafie mbele huko
Wewe bakia na hizo ndoto, Nchi inasonga mbele na fursa zimefunguka, wakandarasi binafsi sasaivi shavu, na sisi wafanyabiashara sasaivi hatuna presha Kama enzi za dikteta bwana yule, Sasa wewe tangu mfiwe na mungu wenu mpo bize na chuki kwa Rais ,wenzenu tunatusua pesa kwenye fursaNafikiri ungemuonea huruma huyu mama yako maana kila analogusa holaa
Kwani ilikuwa mwiko?Mulamula alijimwambafai kwenda kuonana na Biden na kuisaliti nchi
Mh! mbona humu Jf watu walikuwa wanamsema sana tu mkuu.Huwa nafurahi sana nikiona yule mpumbafu anapondwa humu.
Kipindi chake tulikuwa haturuhusiwi kumsema hata alipokuwa akijinyea kwenye kupiga pushups wakati wa campaign 2015