Kwenye kiitikio, ni msanii gani bora wa kiume na wa kike kwa muda wote kuwahi kutokea Bongo Flava?

Kwenye kiitikio, ni msanii gani bora wa kiume na wa kike kwa muda wote kuwahi kutokea Bongo Flava?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Kwangu mimi

MFALME - Q chief

Nikilala naota - jide
Namtafuta aseme
Kama unataka demu - Solo thang
kazi ipo - wanaume
Sintobadilika - Mie tee

Malkia - Ray C

Uko wapi
Soge sogea
Na wewe Milele
Unanimaliza
Umenikataa
Nipe love - AY
Ingewezekana - D knob
 
Nilipiga goti na dua ikafika, haya maisha yangu na ww ukaridhika...... Ally kiba kwenye mboga saba ya bluu. Bonge la chorus
 
Wa kike Ray c na Komando jide...

Wa kiume Mangwair na d-knob
 
Judthi wambura n habar nyingine akiwa na rehema chalamila
 
Hivi na wale jamaa wa Tongwe records upande wa kina roma na stamina kwenye viitikio wapo vizuri, mfano ndoa, mkombozi,
 
Hapa nawaweka wawil kwanza wengine baadae g nak na juma nature plus jux
 
Back
Top Bottom