Kwenye kiitikio, ni msanii gani bora wa kiume na wa kike kwa muda wote kuwahi kutokea Bongo Flava?

Kwenye kiitikio, ni msanii gani bora wa kiume na wa kike kwa muda wote kuwahi kutokea Bongo Flava?

ray c kwenye viitikio ni namba nyingine niko hapa naskiza ngoma aloshirikishwa na D knob -
inawezekana.
 
Wakali wa chorus kwangu ni-:
1. Alikiba
2. Juma Nature
3. One six
 
1.JUMA NATURE.

2.LADY JAYDEE.

3.FEROOZ.

4 QCHEEF.

5. RAMADEE

6.RAY C.

7. MAKAMUA.

8. JOSLINE.

9. MALOW

10. DITTO

KWA SASA.

1. MARIOO

2. MARIOO.

3MARIOO.

ALIKIBA
 
Kwa upande wa wasanii wa kike Hakuna msanii anayeweza kumkalisha RUBY kwenye chorus.Huyu dada Ni level nyingine kbsa SEMA tu yupo underated kbsa.

Kwa upande wa wasanii was kiume Ferooz anaongoza akifuatiwa na Q Chilla na One- six.
 
Kwangu mimi

MFALME - Q chief

Nikilala naota - jide
Namtafuta aseme
Kama unataka demu - Solo thang
kazi ipo - wanaume
Sintobadilika - Mie tee

Malkia - Ray C

Uko wapi
Soge sogea
Na wewe Milele
Unanimaliza
Umenikataa
Nipe love - ft AY
KAMA UNATAKA DEMU: JAY MOE siyo SOLO
 
""Always in my mind ... always in mind ..you are always in mind oooh yeah.""... ..Acheni utani bana kiba Hana mpinzani
 
Juma Nature, the only one
Anzia kwa Radhia, mzee wa busara, nyumbani ni nyumbani, nampenda ya Mike tee, zali la mentali ya professor Jay na nyingine kibao
 
Kwangu mimi

MFALME - Q chief

Nikilala naota - jide
Namtafuta aseme
Kama unataka demu - Solo thang
kazi ipo - wanaume
Sintobadilika - Mie tee

Malkia - Ray C

Uko wapi
Soge sogea
Na wewe Milele
Unanimaliza
Umenikataa
Nipe love - AY
Ingewezekana - D knob
Wengi naona wanaweka zilipedwa.

Wa kiume kwangu ni harmonize

Wa kike ni Maua sama.

Hao wamepiga chorus chache lkn wametoboa mule mule kabisa. Harmo nae anakuja, ukimpa chorus au shairi anakufanyia unyama hatari
 
Kiba ni hatari
My woman by darasa
Nainai by ommy
Jike shupa
Kiboko yangu by FA
Mboga saba by blue
[emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
 
Back
Top Bottom