Ilboru: Machakura, alikua mwalimu wa michezo
Hujaelewa iko sehemu gani CCP?sijasoma ccp nimesoma kilimanjaro pr. hakuna viumbe nawachukia kama askari pilisi
haipo ccp bt inapakana na ccpHujaelewa iko sehemu gani CCP?
sasa kama si unoko ni nini?? siku moja alinichapa bila kosa kisa kagombana na mwl MBANDO hasira kazileta darasani..
Marehemu "Machakura" hakuwa na ukali wowote...
Labda kidogo ungemtaja ungemtaja marehemu "Chief"...
Umesoma mwaka gani Mimi 1996haipo ccp bt inapakana na ccp
babu chacha aliwahi kumkimbiza mshkaj mmoja,mpaka kwao,alikuwa anakaa area c lugalo.na mwanae mmoja nilimaliza nae form four.marehemu miraji pamoja Na kunitengeneza sana tu nikiingia anga zake,ila alikuwa mtu mmoja poa sana,kuna siku tulikuwa tunamngoja mkaanga sumu,kwa pindi la biology practicle,tulipiga nae story sana.kazi zao walizipiga vyema,getini alikuwepo Afande jumapili(Sunday),jikoni bab side,joro Kwa Blandina...
upande wa waalimu wajeda karibu wote walikuwa wababe,wakiongozwa Na kisarika,aliwahi mchota mtama dada mmoja,form one hiyo,parade pale.mwingine ni master,mzee wa kuibeba dunia..maundi Mzee wa nyundo za kichwa
Chief hakua na ukali alikua mshikaji tuu hasa kwa vijana wa o level na mtafuta sifa.
Machakura enzi ya zamu yake alikua anatuamsha alfajir anatukimbiza mchaka mchaka.
Wewe wa mwaka gani?
Shikamooo squareMwl Chuchuba, Kigoma sekondari 1970-80s
Miaka mingi kidogo...
Basi labda Chief alikuja badilika miaka ya mbeleni, sisi wakati huo Machakura alikuwa mnoko uwanjani tu akiendesha mazoezi ya soka...
Kile kilima cha pitch panda shuka kilitutesa sana...
Huyo mlevi wa SM (fegi) alikuwa mnoko kwa wanafunzi wake waliokiwa wanasoma kiswahili aisee alikuwa anawapeleka puta sijawahi kuona,Mwalimu Masebo hapo hapo midlands mwaka 2007/2008
Acha tu mkuu utoto raha sana aisee yaani nilipomuongeza 400 akaona isiwe tabu katupa kwa kuwa alikuwa na shobo na mabinti nikamtafuta binti mmoja wa kizanzibar nikampa kazi anitafutie namba yake nyingine nikaipata sema nikamkaushia sikumtumia tena.Da mkuu wewe ulikua mtukutu sana da nimecheka sana ukamuongeza nyingine 400