Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
eti eenhe?Wengine wanafikiria kuna binaadamu wapya kumbe ni hawa hawa
Hee nipende mimi basπ§Mi nikipenda sina kawaida yankuacha ata kama madhaifu ya huyo mtu kuomba pesa
Wakuu mi napenda na nakuwaga seriously kwenye mahusiano
Wakuu mi napenda sana na napenda na madhaifu ya mtu
Mi siachi
Haya mimi ni kijana wa kiumeHee nipende mimi basπ§
Dah aisee we mwanangu wa pili kabisaa kumbe tuko na watoto wetu humuHaya mimi ni kijana wa kiume
Miaka 23-25
Mkoa dasalam
Nimejiajiri
Njo PM ili tuongee zaidi....
Moyo wangu bado una gape la kupenda.
Your warmly welcome dear
Daaah mkuu unazingua sana acha ban ππππππππ«΅π«΅π«΅π«΅π«΅Dah aisee we mwanangu wa pili kabisaa kumbe tuko na watoto wetu humu
Yaani 2025 ahahahahDah aisee we mwanangu wa pili kabisaa kumbe tuko na watoto wetu humu
Unabisha nini kujiunga sio ishu naweza jiunga hata jana πππππDaaah mkuu unazingua sana acha ban ππππππππ«΅π«΅π«΅π«΅π«΅
Ngoja nifatilie umejiunga lini humu
Kabisa,na tabia hazifanani....na ndiyo maana Kuna wengine wanaua, wengine hufukuza na wengine huvumilia kama mleta madaWengine viazi sana.bora usepe
Nimejiunga mwaka huu sababu mm sikuwa mtu wa mitandao sn nilikuwa mtu viswaswadu kwa sanaYaani 2025 ahahahah
Ilo kweli huwez vumilia mpk mkauana halaf huyo mleta mada watu wa kiuana kwenye mahusiano atakuja kusema si bora mngeachana tu ndo binadam hao ππππKabisa,na tabia hazifanani....na ndiyo maana Kuna wengine wanaua, wengine hufukuza na wengine huvumilia kama mleta mada
π€£π€£π€£ Mimi nilikuwa nashauriwa kuwa ndoa ni kuvumilia...hivyo niendelee kuvumilia...nilipokoswakoswa panga na kukimbia,haohao wakasema bora uachane naye...ningekufa je wangesemaje?Ilo kweli huwez vumilia mpk mkauana halaf huyo mleta mada watu wa kiuana kwenye mahusiano atakuja kusema si bora mngeachana tu ndo binadam hao ππππ
Sasa hapa jukwaani ukubwa wa mtu tunaangalia mwaka alio jiunga mkuu πππππ«΅π«΅π«΅Unabisha nini kujiunga sio ishu naweza jiunga hata jana πππππ
Ahahahaah ukute ni jamaa umemaliza chuo juzi hapo alafu una tu ektia hapa ahahahahNimejiunga mwaka huu sababu mm sikuwa mtu wa mitandao sn nilikuwa mtu viswaswadu kwa sana
Dahh nishakuwa mshangazi kama ndo iviπ’Haya mimi ni kijana wa kiume
Miaka 23-25
Mkoa dasalam
Nimejiajiri
Njo PM ili tuongee zaidi....
Moyo wangu bado una gape la kupenda.
Your warmly welcome dear