Kwenye mahusiano kila mtu ana mapungufu yake , kumuacha mtu ni kutafuta mapungufu mapya kwako

Kwenye mahusiano kila mtu ana mapungufu yake , kumuacha mtu ni kutafuta mapungufu mapya kwako

Nilitegemea unisaidie hapo si unajua tena nishaelewa mimi...
Hapa sijui utaniambia nini nimwelewe mtu juu ya huyu shangazi juu hapo 😂😂😂
Em mwache dada wa watu...unaharibu watoto wa watu wewe🤒🙄
 
Usifikirie kubadilisha mahusiano ndio hautakutana na matatizo/ changamoto . Kila mtu atakuja na changamoto zake mpya. Kuna muda jifunze human nature , mapungufu madogo ya mpenzi wako yavumilie. Unaweza ukamuacha mtu m baya ukakutana na m baya zaidi. Ukasema ni afadhali yule
Kuna mapungufu mengine ni lazima upige mtu chini
 
Back
Top Bottom