Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Usikhofu mimi sijawahi kuwa na mahusiano na rika langu..Dahh nishakuwa mshangazi kama ndo iviπ’
Ee Mungu wangu,nifundishe kunyamazaπ€£π€£π€¦Usikhofu mimi sijawahi kuwa na mahusiano na rika langu..
Huwa napenda sana mashangazi kiufupi ni mungu ametukutanisha hapa aiseeee naomba nikabidhi moyo wako
πππππSasa hapa jukwaani ukubwa wa mtu tunaangalia mwaka alio jiunga mkuu πππππ«΅π«΅π«΅
πππππ nakwambia me nishawah ona jamaa mtaani ivo ivo mke wanamwambia vumilia tu ndo ndoa na wazaz ivo ivo binti anarudi kwao siku mbili karudishwa kwa mmewe sasa siku ya siku jamaa kapiga kaua yule binti eti wanakuja kusema kama mambo alyalikuwa magumu si angekimbia wakat wao ndo walikuwa wanamwambia avumilie dada wa watu kashafariki washasahauπ€£π€£π€£ Mimi nilikuwa nashauriwa kuwa ndoa ni kuvumilia...hivyo niendelee kuvumilia...nilipokoswakoswa panga na kukimbia,haohao wakasema bora uachane naye...ningekufa je wangesemaje?
Za kuambiwa changanya na zako..maisha ni yako si ya mwingine,ukifa linasahaulika mpaka jina lako
π€£π€£ Dalili huanza hivi lakini bado tunaforce tuolewe hivyohivyoπππππ nakwambia me nishawah ona jamaa mtaani ivo ivo mke wanamwambia vumilia tu ndo ndoa na wazaz ivo ivo binti anarudi kwao siku mbili karudishwa kwa mmewe sasa siku ya siku jamaa kapiga kaua yule binti eti wanakuja kusema kama mambo alyalikuwa magumu si angekimbia wakat wao ndo walikuwa wanamwambia avumilie dada wa watu kashafariki washasahau
πππππ ila ka unauwezo wa kuvumilia nayo n nzuro mana ukiwa unaolewa kila siku mashine nayo inapungua uwezoπ€£π€£ Dalili huanza hivi lakini bado tunaforce tuolewe hivyohivyo
π€£π€£π€£π€£ Sitaki ndoa tena...miaka mi5 sasa nalea wananguπππππ ila ka unauwezo wa kuvumilia nayo n nzuro mana ukiwa unaolewa kila siku mashine nayo inapungua uwezo
Sahihi kabisa mkuuMapungufu yanayostahili au kupaswa kuvumiliwa ni yale ya kimaumbile na ya kibinadamu ambayo kila mwanadamu kwa kuwa hatujakamilika wakati mwingine tunateleza.......
Kumvumilia mtu ambaye kwa utashi wake na msukumo wa tamaa ameamua kukusaliti na kulala na mwanamke/mwanaume mwingine huo sio uvumilivu bali ni ujinga.........
Kumvumilia mtu anayekupiga mara kwa mara na hata wakati mwingine kuhatarisha usalama wako na afya yako huo sio uvumilivu bali ni ujinga
Kumvumilia mtu ambaye alipaswa sehemu ya kukufariji, kukutia moyo na kukupa furaha badala yake kila uchao anakuletea kero, mauzi na makasiriko sio uvumilivu ni UJINGA.......
Ushaanza ππππππEe Mungu wangu,nifundishe kunyamazaπ€£π€£π€¦
Mungu huyu huyu ninaemuabudu na mimi auπUsikhofu mimi sijawahi kuwa na mahusiano na rika langu..
Huwa napenda sana mashangazi kiufupi ni mungu ametukutanisha hapa aiseeee naomba nikabidhi moyo wako
Mmmh mbona umecheka .Mungu huyu huyu ninaemuabudu na mimi auπ
π€£π€£π€£ Ngoja niondoke friendUshaanza ππππππ
Ujue akiona comment yako ni moja ya red flag et ahahahah tutapigana hapa ujue
Hapana huwezi kuandika maneno mengi hivi halafu pia namm nikakae kama mshangazi kwako nimetulia tu hapana jamani niache nikaekae kwanza..Mmmh mbona umecheka .
Uwezi jua kusudio la mungu ni lipi kati ya mimi na wewe...
Pia katika haya maisha hakuna mtu ajuae kesho yake kama wewe hukutegemea kukutana na mtu ambaye anapenda kwa asilimia 100% lakini leo umekutana nae na naimani hapo unawaza utaanzaje kunipa moyo wako..
Iko hvi anza hvo hvo haina shida maana maisha ni fumbo mi nimekubali kuchukua moyo wako na kuuweka sehemu salama
Ahahahah mi ugomvi naupenda ππππ€£π€£π€£ Ngoja niondoke friend
Kuna kitu nimekosea hapo...Hapana huwezi kuandika maneno mengi hivi halafu pia namm nikakae kama mshangazi kwako nimetulia tu hapana jamani niache nikaekae kwanza..
ππππKuna kitu nimekosea hapo...
Basi achana na kuwa mshangazi ulitaka ukae kama nani kwangu..?
π€£π€£π€£ Hapana,mi siyawezi mambo hayoAhahahah mi ugomvi naupenda πππ
Unacheka tena.. jarbu kufikilia hiliππππ
Nilitegemea unisaidie hapo si unajua tena nishaelewa mimi...π€£π€£π€£ Hapana,mi siyawezi mambo hayo
Am speechless bro!Unacheka tena.. jarbu kufikilia hili