Em mwache dada wa watu...unaharibu watoto wa watu weweπ€πNilitegemea unisaidie hapo si unajua tena nishaelewa mimi...
Hapa sijui utaniambia nini nimwelewe mtu juu ya huyu shangazi juu hapo πππ
Kuna mapungufu mengine ni lazima upige mtu chiniUsifikirie kubadilisha mahusiano ndio hautakutana na matatizo/ changamoto . Kila mtu atakuja na changamoto zake mpya. Kuna muda jifunze human nature , mapungufu madogo ya mpenzi wako yavumilie. Unaweza ukamuacha mtu m baya ukakutana na m baya zaidi. Ukasema ni afadhali yule
Naomba nikutag jukwaa la TAMISEMI TUONGEE WAWILI TUAm speechless bro!
Daaaah kwa sasa nataka nitulie na mmoja tuuEm mwache dada wa watu...unaharibu watoto wa watu weweπ€π
Hapo kumbe sawa mkuu,ikawe kheriDaaaah kwa sasa nataka nitulie na mmoja tuu
kheeeπ€πNaomba nikutag jukwaa la TAMISEMI TUONGEE WAWILI TU
Nakutag soon πππππ«΅π«΅π«΅kheeeπ€π
Kwa umri huu ndo maana maneno mengi...Haya mimi ni kijana wa kiume
Miaka 23-25
Mkoa dasalam
Nimejiajiri
Njo PM ili tuongee zaidi....
Moyo wangu bado una gape la kupenda.
Your warmly welcome dear
Ilibidi niweje an...Kwa umri huu ndo maana maneno mengi...