Naomba nikupigie..."....Kingine weka muda wa watu kukupigia simu ukiona unapigiwa simu mpaka usiku wa manane iyo ni dharau na wamekuchukulia cheap"
Umeandika kweli tupu.
Aseeh!!Hicho ni kiburi tuu huna hela huna maisha na kwanza ndio umepanga et hupokei simu kwakua waanakulipa mshahara 1M
Acha ushamba maisha yako yanazungukwa na watu ukipatwa na jambo hao watu ndio wa kwanza kukusaidia na kukutolea michango pale inapobidi.. imagine umepatwa na magonjwa mazito hao watu watachanga kukusaidia...
Imagine jirani kaona mwizi dirishani kwako anakupigia kuna uwezekano wa kumkurpua maana wengine wanakua na spray wanakupulizia wanafanya kila kitu..
Mazoea ambayo mabaya ni yale mtu kuingilia maisha yako binafsi na sio kosa kusalimiwa hicho ni kiburi na ushamba ambao hauna3 faida yoyote
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
bahati mbaya pesa ndio huwa inaamua,inavyozidi kuwa nyingi masharti yanapotea.Na uwe na fedha, usijipangie masharti huku hujiwezi
Mkuu kuna tatizo gani kubandika ratiba ya chakula?nyinyi ndio mnabandika ratiba za misosi kwenye kuta za jikoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
BIG FACTUkiwa unaingilika ingilika kirahisi utajishushia heshima weka limits za watu kukuzoea.
Wengine salamu tu inatosha wasikuzoee sana
Kawaida ya mbongo akikuzoea anakushusha thamani ndo maana hata wasanii somo lao kubwa kwenye kazi zao za sanaa ni kujiweka mbali na mazoea yani kutojichanganya changanya hovyo na watu.
Maana utasikia yule jamaa msanii atakuwa yule mbana deile tupo naye hapa tunapiga naye stori ni wa kawaida mno.
Kingine usipende kuchati chati ovyo kwenye groups mtu akiwa interested kuchati na wewe akufate inbox
Kingine weka muda wa watu kukupigia simu ukiona unapigiwa simu mpaka usiku wa manane hiyo ni dharau na wamekuchukulia cheap
Hata hao wachache tu wanaweza kukuharibia.Wabongo wakikuzoea sana wanaleta mazarau balaa
M ni mcheshi sana ila huwa siruhusu kila mtu anizoee
Inategemea kama wewe ni mfanyabiashara simu ya kibiashara muda wote ruksa"....Kingine weka muda wa watu kukupigia simu ukiona unapigiwa simu mpaka usiku wa manane iyo ni dharau na wamekuchukulia cheap"
Umeandika kweli tupu.
Mnalishana ujinga mtupu"....Kingine weka muda wa watu kukupigia simu ukiona unapigiwa simu mpaka usiku wa manane iyo ni dharau na wamekuchukulia cheap"
Umeandika kweli tupu.
Ukiwa unaingilika ingilika kirahisi utajishushia heshima weka limits za watu kukuzoea.
Wengine salamu tu inatosha wasikuzoee sana
Kawaida ya mbongo akikuzoea anakushusha thamani ndo maana hata wasanii somo lao kubwa kwenye kazi zao za sanaa ni kujiweka mbali na mazoea yani kutojichanganya changanya hovyo na watu.
Maana utasikia yule jamaa msanii atakuwa yule mbana deile tupo naye hapa tunapiga naye stori ni wa kawaida mno.
Kingine usipende kuchati chati ovyo kwenye groups mtu akiwa interested kuchati na wewe akufate inbox
Kingine weka muda wa watu kukupigia simu ukiona unapigiwa simu mpaka usiku wa manane hiyo ni dharau na wamekuchukulia cheap
Maake apo kwanza nikupigie simuš¤£Kama hakuna emergency mtu pekee wa kunipigia simu za usiku ni babe, kiasi kwamba simu ikiita usiku nashtuka kabisa maana si kitu cha kawaida..!
Habari ya kunipigia sasita za usiku kisha uniambie nilikuwa nakusalimia,
Aiseeh' hiyo tabia nasimama nayo kinyume na nishapiga marufuku..!!