Kwenye majukwaa ya kimataifa, Rais Samia atumie akili ya ziada na welevu kujadiliana na kuongea

Kwenye majukwaa ya kimataifa, Rais Samia atumie akili ya ziada na welevu kujadiliana na kuongea

Mtu alifeli darasa la nne,akarudia,akafeli kidato cha pili akarudia akafeli form four badae akarudia masomo kama private candidate,elimu yake ikawa ya kuunga unga,unafikiria ataweza kujibu swali kwa weledi,akienda hard talks anaweza kutoa siri zote za nchi na zake binafsi,ndo shida ya kuongozwa na watu wenye elimu ya kuunga!
Amejiunga kwenye kundi la marais waliopata urais bila kuwa na ndoto au hata kujiandaa: Fundi umeme Lech Walesa Rais mstaafu wa Jamhuri ya watu wa Poland na mchekeshaji na Rais wa sasa wa Ukraine, jirani na Poland. Hadi kufika 2025 tutashuhudia mengi.
 
Mwanamke mbele ya pesa hutukana hadi wazazi wake. Siku Moja ujalibu kumpa hela mpezi wako afu mwambie tukana wazazi wako, utashangaa.

Samia anatakiwa afundwe na wanaume na sio wanawake. Na wasaidizi wake wa Karibu wawe wanaume.
 
Huu ndio muda wa mataifa ya nje kutumia udhaifu wa Samia kufanya wanachotaka nchini.

Hapa nchini kuna kipi cha maana kwa hayo mataifa ya nje? Mpaka sasa kabla ya huu udhaifu wa Samia nchi hii ni masikini, ni kipi kitawanufaisha wao ambacho kimeshindwa kututoa sisi kwenye huu umasikini?
 
Na vipi kuhusu yule Rais wenu wa taifa kubwa duniani anavyoaiibisha taifa katika hotuba zake ? Bonge la mzigo , kila siku White House wanahaha kurekebisha hahahhaaha
Logical non sequitur and irrelevant to the topic.

Huyo rqis wa taifa kubwa nakushauri muanzishie thread tumjadili kwa nafasi na yeye.

Kama anaaibisha au haaibishi, hilo haliondoi ukweli niliouandika.

Ulichofanya hapa kinaitwa "Wahataboutism".

Nimechangia hoja ya Samia, umeleta "What about..." ya kitu ambacho hakipo kwenye mjadala.

Hii ni dalili ya mtu asiye na point ya kuweza kubishia point zilizopo kwenye mjadala, ila, anataka kuupeleka mjadala uende sehemu ambayo si unapotakiwa.

Samia Suluhu Hassan anachemsha.

Huyo rais mwingine muanzishie thread yake tumjadili.

Huyo rais mwingine akiwa anachemsha, au ikiwa hachemshi ila wewe mzushi tu, hilo haliondoi ukweli kwamba Samia anachemsha.

Logical non sequitur.

Whataboutism.
 
Nchi hii ilianza kuingia kwenye utaratibu wa midahalo tena kwa lugha ya kiswahili hasa wakati wa uchaguzi, na nyakati nyingine huko nyuma. Tulipoaanza kuingiza wagombea wasio na uwezo, hapo tukaona udhaifu ukifichwa wa viongozi hao kwa kusemwa eti wao kazi zao zinaonekana, na hawana muda wa midahalo. Ilifika mahali mpaka Bunge live halitakiwi maana kuna watu hawana uwezo wa kujieleza, hivyo ikawa inaonekana wenye uwezo wa kujieleza watafaidika na hali hiyo!

Sasa kama watu wanakwepa midahalo kwa lugha ya kiswahili wanayoiweza, tena kwa wasimamizi wa hiyo midahalo wanaohofia madaraka yao, inakuwaje wanapokutana na waandishi wanaotumia kiingereza wasichokimudu vyema, na wasio na hofu ya madaraka yao? Matokeo yake ni lazima mtu aongee ukweli,maana ni ngumu kudanganya kwa lugha usiyoimudu vyema, hasa ikizingatiwa huna uwezo wa kumudu midahalo. Katika vitu vilivyomfanya Magufuli aogope kwenda nje, kikubwa ilikuwa ni uwezo wake mdogo wa lugha ya kiingereza, na uwezo wake mdogo wa kujieleza hata kwa hicho kiswahili. Na vile alijua atakutana na watu wasioogopa madaraka yake, aliona bora lawama ya kutokwenda, kuliko fedheha ambayo angeipata kwa kwenda nje.
 
Hapa nchini kuna kipi cha maana kwa hayo mataifa ya nje? Mpaka sasa kabla ya huu udhaifu wa Samia nchi hii ni masikini, ni kipi kitawanufaisha wao ambacho kimeshindwa kututoa sisi kwenye huu umasikini?
Mbona mambo yapo mengi tuu, ukiona viongozi wanatofautiana kwenye jambo fulani bc ujue kuna kitu hapo. Mfano Magufuli hakutaka mradi wa bandari Bagamoyo uendelee lkn Kikwete/Samia wanataka uendelee, ukiona vitu kama hv ujue kuna mkono wa watu hapo.
 
Yeye Magufuli hakuwa na mkono kwenye mambo ya wengine? Au hii nchi ilikuwa mali yake?
 
Jamani mnataka afanye nini sasa huyu rais! Mnamwonea tu.
 
Nchi hii ilianza kuingia kwenye utaratibu wa midahalo tena kwa lugha ya kiswahili hasa wakati wa uchaguzi, na nyakati nyingine huko nyuma. Tulipoaanza kuingiza wagombea wasio na uwezo, hapo tukaona udhaifu ukifichwa wa viongozi hao kwa kusemwa eti wao kazi zao zinaonekana, na hawana muda wa midahalo. Ilifika mahali mpaka Bunge live halitakiwi maana kuna watu hawana uwezo wa kujieleza, hivyo ikawa inaonekana wenye uwezo wa kujieleza watafaidika na hali hiyo!

Sasa kama watu wanakwepa midahalo kwa lugha ya kiswahili wanayoiweza, tena kwa wasimamizi wa hiyo midahalo wanaohofia madaraka yao, inakuwaje wanapokutana na waandishi wanaotumia kiingereza wasichokimudu vyema, na wasio na hofu ya madaraka yao? Matokeo yake ni lazima mtu aongee ukweli,maana ni ngumu kudanganya kwa lugha usiyoimudu vyema, hasa ikizingatiwa huna uwezo wa kumudu midahalo. Katika vitu vilivyomfanya Magufuli aogope kwenda nje, kikubwa ilikuwa ni uwezo wake mdogo wa lugha ya kiingereza, na uwezo wake mdogo wa kujieleza hata kwa hicho kiswahili. Na vile alijua atakutana na watu wasioogopa madaraka yake, aliona bora lawama ya kutokwenda, kuliko fedheha ambayo angeipata kwa kwenda nje.
Hivi nje ni nje ya bara la afrika? Au nje ni nje ya TZ?
 
Mama hata awe na mapungufu kiasi gani hawezi kumfikia magufuli, uongozi wa mama umetulia, unazingatia demokrasia, kipnd Cha mwendazake hata Uhuru wa jamiiforum haukwepo, magazeti yalifungiwa, bunge live lilifungiwa, watu waliuawa ovyo, rejea WATU WASIOJULIKANA, taarifa ya habari ilikuwa ya upande moja daily kusifia serikali, na hii ndo ilipelekea magufuli kupendwa na wananchi wa kawaida kuliko watumishi, wafanyakazi walinyanyasika kwa kunyimwa stahiki zao za kisheria km vile nyongeza ya mishahara, madaraja, ajira mpya, malimbikizo , wastaafu na Mambo mengine mengi yanayodanana na hayo, big up mama unaupiga mwingi wasokupenda Wana yao binafsi
 
Mara nyingi nje yenye uzito ni nje ya bara la Afrika.
Unatafuta justification kwenye jambo lako hewa. Eti yenyr uzito ni nje ya bara la afrika. Kwa hiyo ukiwa south Africa, Zambia au Nigeria unakua upo bado TZ?
 
Back
Top Bottom