Kwenye mambo yanayohusu maslahi ya Wanyonge ni ngumu Sana kuwasikia Wapinzani

Tangu lini mliona umuhim wa Mbowe na CDM we jinga? Kwan nyie c mko weng bungeni? Kwann msipinge hiyo miswada? Acha unafik nyie ndio wagonga meza kusapoti kila sheria inayopitishwa. Kikubwa kweny hili woote tunaumia
Umuhimu wake ni kuwatetea wafanyabiashara wakubwa ndio maana wanyonge wamebanwa ili wafanyabiashara wakubwa wapumue
 
Anajiandaa kuingiza watu mtaani
 
Kwa ninavyomuelewa ndugu M/kiti hawezi kujiingiza kichwa kichwa kwenye huo mtego. Smartness inahitajika kwenye mtago smart kama huu wa kodi za miamala.
 
Kwa hili nawatetea wapinzani,sababu hawapo wala hawahusiki kwenye huu wizi
Lkn mleta mada ana hoja. Kwamba wapinzani wanatuahawishi tupiganie tume huru kwasabb imebana mkate wao moja kwa moja. Kwann hawapambanii hili lililobana mkate wa wanyonge??

Wangeweza kuwashawishi wanyonge waingie barabarani ktk hili halafu wakachomekea na katiba mpya humo ndani wangeua tembo kwa ubua.
 
🤣🤣 Sielewi huu ni uandishi wa kejeli au uko serious
 
Ulitaka wachukue hatua gani? Maana naona unalalamika tu! Kwani kila kitu mpaka tusemewe na hao wapinzani? Sisi hatuna midomo ya kupaza sauti zetu?
Nilitaka wafanye kama wanavyofanya kwenye katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Mbona wanatusemea japokuwa tuna midomo?? Kwann na hili wasitusemee na kutushawishi tuandamane??
 
Wapuuzi nyie mmeguswa mnaanza kulialia. Maslahi ya taifa tumepigania sana mkaanza kutukimbiza kqa mabunduki na mitutu.

Hili mtalinywa.🤣🤣🤣🤣
 
Mbowe yuko bize kupigania chanjo ya Corona
 
Wewe hili la TOZO unalionaje?


Ova
 
Apa wapinzani hata hawaonekani,akina msigwa,lema,lissu,zitto,mbowe n.k washamuingiza chaka mama eti mwendazake alifukuza wawekezaji nae bila hata kufanya critical reasoning saivi wanachekelea tu meno juu.
 
Wao wanamkubali mama hawana cha kumkosoa,kila kitu anachofanya kwao pia kiko sawa.Ndio maana wako kimya hawana cha kukosoa na pengine ni ushauri ni ushauri waliompa mama katika kujenga uchumi uliohalibiwa na hasimu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…