Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Movie ni wheels on meals. Jack Chan vs Benny Urquirdez
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri hii Kng Fu Chefs ndiyo hii wheels on meals. Huyu mwamba alikuwa martial artist ambaye hajawahi poteza pambano.Kuna hii winners and sinners ya jack chan na huyo huyo mwamba.
Kuna Kung Fu chefs ya uyu uyu chan😄
Kung Fu chefs yupo sammo hung brother ngoja nitafute scene zake ntazileta hapaNafikiri hii Kng Fu Chefs ndiyo hii wheels on meals. Huyu mwamba alikuwa martial artist ambaye hajawahi poteza pambano.
Mkuu na mimi nilitaka kusema Ip Man.IP man2, Don yean na Samhung!
Hatari Sana, ukatili na unyama ws kutishaThe raid 1 and 2 hatari sana
Sichokagi kuziangaliaHatari Sana, ukatili na unyama ws kutisha
The raid 1 and 2 hatari sana
Wewe ndio unajua moviesThe raid 1 and 2 hatari sana
KungFu Killer ulipigwa mkono mwingi sana sema Donnie Yen alijipendelea sana. Yule dogo Baoqing sijui, anajua sana na ni bonge la actor. Movie ya Donnie Yen ambayo mkono ulibalance ni The new big bossThe night comes for us, The raid 1&2, Bwana mdogo Iko Uwais anatoa burudani isiyoeelezeka. Unapigwa mkono usio wa kawaida.
Ningekua na uwezo wa kupigana kama huyu dogo, siku moja ningevizia shere za uhuru pale Taifa, wakati makomando wenu wanapasua matofali, nawavamia then nawapa kichapo huku "MAZA" akishuhudia!
Kungfu Killer! Mwamba wa kuitwa Don Yen, huwa haniangushi kwenye fight scenes. Waliupiga mwingi mno!
SPL: Time for the consequences. Final fight wanaungana Tony Ja na Wu Jing kupambana na gentleman wa kuitwa Zhang Jin. Kwangu hii ndio the best fight scene niliopata kuiangalia. Tony Ja na Wu Jing walitandikwa mpaka wakahisi wanapigana na jini.
Kama MB zinaruhusu, ingia YouTube, search SPL:Time for the consequences final fight. Ukimaliza leta mrejesho hapa!
View attachment 2458226View attachment 2458227
Shida ya Jet Li, ni yale mambo yake ya kupaa. Sawa ni maigizo, lakini kuwepo na ka uhalisia kidogo basi. Hii ya mtu kusimamisha nywele huwa inakata stimu brother!Mnaongelea fight scene nzuri au mnaongelea fight scene ya muda mwingi.
Jaribuni pia movie za Jet Lee