Kwenye martial arts movies hakujawahi kuwa na fight scene bora kama hii

Kwenye martial arts movies hakujawahi kuwa na fight scene bora kama hii

Unaijua BROKEN PATH wewe??
Unaijua AVENGEMENT wewe?
Unaijua BLOOD and BONE wewe??

Humo hamna mbamba ya makompyuta, mkono unapigwa sio poa. Hasa hiyo BROKEN PATH, kuanzia dakika 1-16 ni story ya movie ikionesha jinsi jamaa alivyouzwa na bbake kwa kundi la Yakuza nchini Japan, baadae akaachana nao hao yakuza akatoroka na kwenda Marekani na kuoa na kuanza maisha ya kawaida. Kumbe Yakuza wanamsaka Ili wamuue sababu aliwatoroka.

Kulikuwa na katafrija fulani nyumbani kwake, Baba mkwe akiwa na wageni wengine kiasi, baadae tafrija inaisha, wageni wanaondoka, Baba mkwe nae anaondoka na mjukuu (mtoto wa starring na mke wake) na wao wanabaki 2 tu mle ndani.

Baadae usiku jamaa anaota ndoto mbaya kwamba mke wake amevamiwa na kuchinjwa, jamaa anakurupuka usingizini, hiyo ni saa 11 alfajiri. Akatoka nje kuangalia mazingira, baadae anarudi ndani na kumkuta mke wake amekaa kitandani anasoma kitabu.

Hayo yote yanaonekana kuanzia dakika 1-17 hivi.

Wakiwa hapo kitandani mara paaah wakavamiwa na Yakuza...bwana bwana weeee kuanzia hapo (dakika 18- mwisho ) HAKUNA TENA MBAMBAMBA, NI MKONO MWANZO MWISHO.

kuna mkono mle sio poa Hata kidogo
 
The night comes for us, The raid 1&2, Bwana mdogo Iko Uwais anatoa burudani isiyoeelezeka. Unapigwa mkono usio wa kawaida.

Ningekua na uwezo wa kupigana kama huyu dogo, siku moja ningevizia sherehe za uhuru pale Taifa, wakati makomando wenu wanapasua matofali, nawavamia then nawapa kichapo huku "MAZA" akishuhudia!

Kungfu Killer! Mwamba wa kuitwa Don Yen, huwa haniangushi kwenye fight scenes. Waliupiga mwingi mno!

SPL: Time for the consequences. Final fight wanaungana Tony Ja na Wu Jing kupambana na gentleman wa kuitwa Zhang Jin. Kwangu hii ndio the best fight scene niliopata kuiangalia. Tony Ja na Wu Jing walitandikwa mpaka wakahisi wanapigana na jini.

Kama MB zinaruhusu, ingia YouTube, search SPL:Time for the consequences final fight. Ukimaliza leta mrejesho hapa!
View attachment 2458226View attachment 2458227
 
The night comes for us, The raid 1&2, Bwana mdogo Iko Uwais anatoa burudani isiyoeelezeka. Unapigwa mkono usio wa kawaida.

Ningekua na uwezo wa kupigana kama huyu dogo, siku moja ningevizia shere za uhuru pale Taifa, wakati makomando wenu wanapasua matofali, nawavamia then nawapa kichapo huku "MAZA" akishuhudia!

Kungfu Killer! Mwamba wa kuitwa Don Yen, huwa haniangushi kwenye fight scenes. Waliupiga mwingi mno!

SPL: Time for the consequences. Final fight wanaungana Tony Ja na Wu Jing kupambana na gentleman wa kuitwa Zhang Jin. Kwangu hii ndio the best fight scene niliopata kuiangalia. Tony Ja na Wu Jing walitandikwa mpaka wakahisi wanapigana na jini.

Kama MB zinaruhusu, ingia YouTube, search SPL:Time for the consequences final fight. Ukimaliza leta mrejesho hapa!
View attachment 2458226View attachment 2458227
KungFu Killer ulipigwa mkono mwingi sana sema Donnie Yen alijipendelea sana. Yule dogo Baoqing sijui, anajua sana na ni bonge la actor. Movie ya Donnie Yen ambayo mkono ulibalance ni The new big boss
 
Kuna kitu kinaitwa THE PROTECTOR: Revenge of the worrior Tony jaa alivurugwa nafsi mno.
 
Back
Top Bottom