Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Tunajua kipindi cha Desemba ndo kipindi cha kukusanyika na familia na kufurahi kwa pamoja kipindi hiki cha likizo. Lakini niwe mkweli natamani sana mwaka huu nisherekee mwenyewe au tutoke out na marafiki. Kwa sababu kila nikienda mimi ndo nakuwa mpishi wa familia, jiko naachiwa mwenyewe napambana nalo mpaka watu watakapoondoka. Na kupika ni chakula cha watu wasipongua 15 kila saa mtu uko na kuni na mkaa.
Kwani nyie mnaokimbiliaga likizo hasa Moshi huwa mnapewa kazi gani huko, mimi bado najishauri nisisafiri kabisa mwaka huu.
Kwani nyie mnaokimbiliaga likizo hasa Moshi huwa mnapewa kazi gani huko, mimi bado najishauri nisisafiri kabisa mwaka huu.