Kwenye mikusanyiko ya familia, wewe huwa unajukumu gani?

Hua nnabaki nje nacheza na watoto wasisumbue kikaoni.
 
Hapa utasumbuana sana na wajomba í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£
Hivi kwanini wajomba wana shobo sana.. Yaani baba mdogo na baba mkubwa hua wanakua cool tu, wajomba sasaaaaa.
 
Kuwafuata mdemu zangu wa zamani na kuwabomoa.

TAHADHARI: wanaume wawasihi wake zao wasilete mazoea kwangu kwa maana nina sumu kama nge
 
Tunavuta myooshi
 
Kuchoma nyama lakini pia kukumbusha matukio ya zaman yenye vibonzo
 
Kupanga viti
 
Mkuu tafuta pesa . Hicho ni kiashiria una helaaaa , utapika sanaaaa nakwambia
 
Kuwapa taarifa za niliowapa mimba Kwa mwaka huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…